mataa

Moka Kainga-mataa [Te Kaingamataa/Te Kaingamata/Te Kainga-mata/Te Kainga-mataa] (1790s–1860s) was a Māori rangatira (chief) of the Ngā Puhi iwi from Northland in New Zealand. He was distinguished in war and an intelligent participant in the Treaty of Waitangi process.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya taa za barabara kwenye barabara ya Sanawari - Ilboru, Tanki la Maji - Mollel hazifanyi kazi, zimekuwa kero

    Mimi ni mkazi wa Arusha. Naomba kuwasilisha kero kuhusu taa za barabarani ambazo hazifanyi kazi katika baadhi ya maeneo ya jiji. Taa zilizopo kuanzia Sanawari hadi Ilboru, pamoja na kipande cha barabara kuanzia Tanki la Maji hadi kwa Mollel, haziwaki kwa muda sasa. Hali hii imesababisha giza...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Taa za kuongoza magari Mombasa-Ukonga hakuna usimamiza na watu wanayapuuza

    Serikali imeweka mfumo wa taa za kuongozea magari (traffic lights) katika eneo la Mombasa, Ukonga, kwa lengo la kupunguza ajali na kuimarisha usalama barabarani. Hata hivyo, bado kuna changamoto kubwa ya kutokuzingatiwa kwa taa hizo na baadhi ya madereva pamoja na watumiaji wengine wa barabara...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nimepita Makumbusho kwenye mataa kuna askari JW amefunika uso , amelenga bunduki as if there is a danger to instantly shoot! Kunani?

    Yaani kama vile at any time ataachia risasi! Yaani yuko alert to shoot! I was walking, nikapita karibu naye maana sikuwa na namna ya kumkwepa.....mimi hapa naye huyu hapa! Nikageuka, Nikamtazama......1 metre apart! Nchi hii iko pabaya sana msivyotegemea!
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Polisi mnayemuweka mataa ya Central azingatie muda wa SGR

    Huyu askari anazuia magari mpaka abiria wanazuiwa kuingia kwenye sgr si sawa hii. Zingatieni muda wa train ya sgr mbona vitu havihitaji shule kubwa jamani.
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli kuwa baadhi ya mataa nchini Ujerumani yameanza kuyeyuka kutokana na joto?

    Kumekuwepo na video iliyochapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook ikidai kuwa kutokana na wimbi kali la joto linaloendelea kulikumba bara la Ulaya, hususan nchini Ujerumani, baadhi ya mataa ya kuongozea magari yaliyowekwa kandokando ya barabara yameanza kuyeyuka kutokana na kiwango...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ni muda mrefu sasa taa za kuongoza magari za Kibasila, Chang'ombe hazifanyi kazi

    Mataa ya kuongozea magari katika eneo la Kibasila, Chang'ombe, yamekuwa hayafanyi kazi kwa muda mrefu sasa. Hali hii imesababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara, huku baadhi ya madereva wakipita kwa kasi na kufanya eneo hilo kuwa hatari zaidi. Changamoto ni kubwa zaidi kutokana na...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Lindi Mkoa mzima hakuna mataa yakuongoza magari barabarani!

    Tuachane na mataa. Me nashauri, May Mosi hii Rais badala ya kuongeza mishahara apunguze makato kwenye basic salary na kupunguza kodi kwenye baadhi ya bidhaa, ipunguze ugumu wa maisha.
  8. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania TANROADS Wekezi Mzunguko hapa mataa Mjini Masasi

    Masasi ni mji unaokua kwa kiasi kila kukicha. TANROAD tunaomba mtuwekee mzunguko (round about) hapa Mataa MjiniKati katika mji wetu wa MASASi ili kufanya mji wetu upendeze zaidi maana tunaamini siku si nyingi tunaenda kupata Makao makuu ya Mkoa wa Masasi na Manispaa kabisa. Hapa mataa ndio...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwani mamlaka jijini Arusha hazioni mashimo barabarani Mataa ya Esso hadi Kona ya Nairobi? Yanachangia foleni

    Arusha, kipande cha barabara kuanzia Mataa ya Esso mpaka Kona ya Nairobi kina mashimo makubwa yanayopelekea foleni na hata muda mwingine ajali! Ni muda sasa mamlaka zimekaa zinaangalia tuu.
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania ASKARI YUPO MATAA YA OPPOSITE NA SHERI YA PUMA FIRE ANACHUKUA RUSHWA 3000 KILA BAJAJI

    Ili Bajaji iruhusiwe kupiga u turn na kurudi kkoo huyu askari anachukua 3000 kila bajaji kama rushwa
  11. serikalibora

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Serikali haijengi Flyover makutano ya barabara Mwenge!

    Mataa ya Mwenge ni one of the busiest intersections hapa mjini. Hili ni miongoni mwa maeneo yanayofahamika sana kuwa chanzo cha foleni. Ni hasa kwa watu wanaoelekea maeneo ya Tangi Bovu, Tegeta, Bunju, Kunduchi n.k. Ni eneo ambalo miundombinu yake si ya kimajaribio, bali ni eneo la mkakati...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mataa ya daraja la furahisha yalikufa na Magufuli, je kigamboni Bado yanawaka? Hata kama hampendi magu, HACHENI hizo.

    Nimefika mwanza siku ya NNE sioni taa za daraja la furahisha je zilikufa na Magufuli? Je kigamboni Bado zinawaka? Hata kama hampendi magu tunzeni vitu vyake viwe kama alivyovijnga
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Captain Tesha awaacha watanzania kwenye mataa

    Jamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya. Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali? Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi? Kabadili maamuzi kwa mapenzi yake? Au alikuwa anatafuta umaarufu (attention seeker)?
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Traffic lights za Kijitonyama Mataa Tatizo

    Sitaki kuamini kwamba mataa ya kuongozea waenda kwa mguu na magari pale Kijitonyama siku hizi hayafanyi kazi! Yaani ni kero kubwa sana kwa sababu unakuta zile taa za waenda kwa mguu unakuta ile picha nyekundu ya mtu akiwa amesimama siku hizi haibadiliki. Hivyo muda wote ni magari tu na...
  15. P

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya mwanza mataa, tuta la stendi ya daladala makoroboi

    Pale makoroboi stand ya dalala, kuna tuta(bump) kubwa, baada ya tuta hilo kuna mashimo makubwa sana katikati ya barabara. Cha ajabu kwenye tuta hilo na chini ya tuta hilo utakuta zimepaki dalala juu ya tuta, zinapaki daladala tatu hadi nne kwa upana na kuacha sehemu ndogo sana ya barabara...
  16. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania Chadema ni wajanja ,wameshajipanga tena kutuacha kwenye mataa

    MOSI, Magereza mbalimbali nchini naamini wameanza kukarabati vyumba vya kulalia wafungwa na kuboresha miundo mbinu ya kuwadhibiti wanaoweza kuhatarisha usalama wa mazingira ya wafungwa sugu na wale wachochezi wasioitakia mema nchi ,wanazuka kama uyoga unapokaribia Uchaguzi mkuu ,inasemwa wapate...
  17. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zisipochukua hatua za haraka mataa ya Morocco damu zitamwagika sio mda mrefu

    Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla. Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ametoka car wash kabisa, ila...
  18. DMN

    JamiiForums Tanzania KERO Mataa ya Bagamoyo Road yamekuwa Kero kwa watumiaji wa barabara hiyo

    Habari Zenu, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na ni mtumiaji wa barabara ya Bagamoyo Road. Kila siku napita kwenye barabara hii kwenda katika majukumu yangu ya kila siku, lakini aisee, mataa ya barabara hii, kuanzia njia panda ya Goba Masana hadi hapa Tanki Bovu na njia panda ya kwenda Kawe...
  19. cabo

    JamiiForums Tanzania KERO Mataa ya Korogwe, Bucha (kwa Thomas) na Kibo hayafanyi kazi na kupelekea madereva kuvunja sheria za barabarani

    Habari za muda huu waungwana, kutokana na ujenzi unaoendelea wa upanuzi wa barabara kutoka Ubungo mpaka Kimara mwisho haya mataa ya hapa Korogwe, Bucha (kwa Thomas) nasikia hili jina lilikuja kutokana na huyo mzee yeye ndio alikuwa anauza mdudu pendwa yule kwa wale wenzetu wasiopenda kumla...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata

    Ajali ya Canter namba T817 DGJ meter 75 toka mataa ya Tabata IMESAGIKA, wahusika wahini.
Back
Top Bottom