Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,022
- 26,352
Wanaweza sema "kajiteka" au kamtembelea mpenzi wake.'Labda atakua ameenda kutembelea ndugu na jamaa....'.majibu ya askari wapenda haki walipopotea kipindi Cha magu..
Huwa hawakosi majibu ya papo kwa hapo