KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,078
Gwajima katandika sana leo.
Hoja zake kubwa ni:
1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa.
2. Serikali ifungue makanisa in 10 days.
3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema Lissu ana issues zaxafya kutokana na kupigwa risasi,kwa mfano ikitokea kapata matatizo au kama gerezani ni Mwananchi gani atakubali kuwa kama Natural death
4. Amesisitiza Reforms zifanyike kabla ya uchaguzi.(Amesema hebu CCM wajenge picha kuwa Mkurugenzi wa Tume,Mkurugenzibwa Halmashauri nk wateuliwe na Lissu na Lissu ni mmoja wa wagombea je CCM watakubali??)
5. Kawapongeza wazee wastaafu wanaongea kushauri mambo kama Butiku na Warioba na kamshauri sana Kikwete kufanya yanayompasa kufanya kiusahihi kama Rais pekee mstaafu
6. Kasisitiza Majeshi na vyombo vya usalama kuwa nani nguvu ya kuangalia mambo hasa taasisi ya Urais inapokuwa haiendi sawa wawe na vikao pembeni na karudia hoja yake kuwa wakuu wake wasiondolrwe bila Bunge kuraarifiwa sababu na kushiriki maamuzi
Amefikia kutishia kuwa iwapo makanisa ya Ufufuo na Uzima hayatafunguliwa in 10 days atakuja na kuongea jambo ambalo hakuna atakayeamini hapo tarehe 24 au 25 mwezi huu.
Zaidi zaidi kakumbushia kwa JK na CCM kuwa ushindi wa chama chao ni muhimu lakini hauwezi kushinda umuhimu wa Masilahi ya Taifa