Mambo ya Walawi 18:22: Usilale na mwanaume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo

Duh.!

Tunako amini mambo ya ushoga na usagaji ndiko yameshamiri hatiwazidi kwa utajiri na kufaidi matunda ya nchi yao.

Huku kwetu tunako kemea kwa nguvu mambo haya. Wanachi wake wanaongoza kwa kutokua na furaha, umaskini na kutofaidi matunda ya nchi yao.


Si saport ushoga na usagaji ila ushoga na usagaji sio chanzo Cha umaskini wa nchi yetu.
Acha wajifurahishe katika dhambi lakini wajue wanajiwekea hasira ya Mungu kwa siku ya hukumu kama wasipotubu!! Habari hii ni amini na kweli!! Kila kunapokucha sikun ya kiyama inakaribia!
 
Tusiwaige wazungu, wazungu wamejichokea na kujikatia tamaa!! Uovu umewashinda maana wametanguliza akili zao badala ya kumtanguliza Mungu!!
 
Back
Top Bottom