Tafsiri ya Ndoto zenye Uzinzi na Uasherati na Wanyama

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Jun 29, 2023
286
582
MTU mmoja aliota Ndoto anafanya mapenzi na Ng'ombe. Kuna watu pia wanafanya mapenzi katika mwili na wanyama kama mbuzi etc

Maana ya kutoa unafanya mapenzi na wanayama

A. Umevamiwa na Roho ya Mauti
Mambo ya Walawi 20:15
Tena mtu mume akilala na mnyama, hakika atauawa; nanyi mtamwua huyo mnyama.

B. Unaingizwa kwenye agano la kimiungu
Mambo ya Walawi 20:15,23
Nanyi msiende kwa kuziandama desturi za taifa, niitoayo mbele yenu; kwa kuwa wao waliyafanya mambo hayo yote, na kwa ajili ya hayo niliwachukia.

C. Unachafuliwa kiroho ili ukae mbali na Mungu
Mambo ya Walawi 18:23 Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko.

D. Unapandikizwa laana
Kumbukumbu la Torati 27:21Na alaaniwe alalaye na mnyama wa aina yo yote. Na watu wote waseme, Amina.
 
Nimepata msukumo juu ya kitu hiki baada ya kupitia post ya Jambo gani lilikutokea ukaamini uchawi hupo , katika kusoma comment nikakuta na habari hii , naomba ni copy na kupaste kama ilivyo

Mimi nilitongoza pisi kali TANGA barabara ya 11,nikaenda nae nyumba ya wageni,wakati namwingilia {tulikuwa tumezima taa} nikahisi harufu kali ya mbuzi na ikawa kama nimelalia sufi.

Nikachoma fasta kuwasha taa nikaona mbuzi kalala kitandani alaf nikasikia bonge la sonyo kutoka darin, nilivaa nguo suruali bila chupi nikatoka nduki kifua wazi!

Kaunta alibaki kushangaa,mlinzi nae akabaki kunsema,,,hii ndo tanga bhana lazima "jamaa kakutana na kioja"
 
Maombi ya kufanya juu ya Ndoto zenye uasherati na Uzinzi

A. Toba
Omba toba mbele za Mungu juu ya kile kilichopelekea adui kupata mlango wa kupitisha Ndoto hiyo

B.Vunja kwa Damu ya Yesu , aina ya agano muunganiko WA Kiagano na roho ya kipepo iliyojiungamanisha na wewe kwa njia ya Ndoto Lk 22:20

C.Kemea kwa Jina la Yesu kila roho zilizokuja kwako kupitia Ndoto zikuachie kwa Jina la Yesu

D.Haribu kwa Damu ya Yesu kila mbegu za uzinifu iliyopandikizwa ndani tumia Damu ya Agano Lk 20:22

E.Ombea uponyaji WA nafsi yako, roho yako, Moyo wako, na nafsi yako juu ya madhara yoyote yalitolewa na adui

F.omba neema ya Mungu juu ya uhusiano wako na Mungu katika Kristo Yesu

G. Ombea utakaso WA Damu ya Yesu eneo ambalo lilitumika kufanya uzinifu kupitia Ndoto Ebr 9 :13 na Lk 22:20
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom