Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,682
- 3,065
Siku hizi kuna utumbo unazunguka nchi sana na unatia kinyaa na kichefuchefuuuu sana ..kila mwasisi au mwenyekiti wa chama flani ni Afisa usalama wa nchi analinda nchi kupitia upinzani...Mambo ya kumezeshana sumu sana huko CCM ...tuseme Kila kiongoz wa chama cha upinzani ni afisa usalama...Kuna wengine hawatumikii tena idara hiyo walijitoa full .Kwa kifupi tuu maalim seif,lipumba, mrema,mbatia hawawezi kurejea ccm wala kujiunga ccm ila ninajua hawa ni wana usalama ,
Maalim seif analinda usalama wa Zanzibar kama mpinzani
Lipumba,mbatia,mrema wanalinda usalama wa bara kama wapinzani
Uwepo wao ndani ya vyama vya upinzani una manufaa makubwa katika kulinda usalama wa nchi
Sent using Jamii Forums mobile app