Mambo ya kufikirisha kuhusu Polepole

Mambo ya kufikirisha kuhusu Polepole

Mkuu,

Hata hiyo chip yenyewe ni geresha tu.

Tulikuwa tunauliza sana kuwa what is the grand strategy? What is Polepole's strategy?

It turns out hakuwa hata na strategy ya kujilinda yeye mwenyewe, achilia mbali ya kukomboa nchi.

This is not a ridicule, this is evidenced by what happenned.
Inasikitisha na inakatisha tamaa. Jamaa kashindwa kumiliki hata bastola ya kujitetea? Kashindwa kutafuta wahuni hapo Dar wamtafutie hata gobore la mchongo?

Enyi wanaharakati wa Tanzania mtauliwa kama kuku kama mnashindwa kujilinda. Kama unashindwa kumiliki gobore au hata panga la kujihami, bora unyamaze na uunge mkono jitihada za mama Abdul.

Kweli balozi wa Cuba kanisikitisha sana. Anatekwa kama panzi?

Dah.
 
Hivi kama hakuwa na mkakati wa ukombozi, alipanga kuishi maisha aliyoishi hadi lini? Namuonea huruma sana uko alipo.

Polepole ni kielelezo cha Watanzania wengi wanavyoishi.

Watanzania wengi hawaishi kwa strategy, wanaishi kwa matumaini tu, kwa kumtumaini Mungu, kwa kuomba, kwa kutumaini mambo yataenda sawa. Kwa emotion, si kwa strategy.

Sishangai sana Polepole alivyofanya . Ningeweza kushangaa kama angekuwa anaishi kwenye nchi ya watu wanaoishi kwa strategy.

Angekuwa mtu wa ajabu na tofauti na wengine.

Sasa mtu kalelewa kwenye utamaduni ambao hauthamini strategic thinking.

Unategemea vipi aishi kwa strategic thinking?

Yani kwa vile kapata vyeo na kuwa balozi tu ndiyo mnataka kusahau umuhimu wa malezi na utamaduni wetu?
 
Eeh Mungu wa mbinguni uliyetajwa na polepole mara kadhaa uko wapi?
jitukuze tunakuomba ili tuzidi kukuamini
 
Vibaya zaidi, ilikuwa ukiuliza maswali kama hayo wanaharakati wanakushambulia na kukubandika majina mabaya kama yote.

Yani hawakuweza kuelewa kuwa kuhoji strategy si kupinga mabadiliko.

False dichotomy logical fallacy.
You are quite right mkuu. Alichokuwa anafanya Polepole ni kukaka tawi kwenye mti alioukalia. Mimi sina sympathies naye to be honest.
Screenshot_20251006_195044_Google.jpg

Huwezi kuwa 'member wa system' halafu ukaanza kuisaliti system. There's no way you will survive.
 
Polepole ni kielelezo cha Watanzania wengi wanavyoishi.

Watanzania wengi hawaishi kwa strategy, wanaishi kwa matumaini tu, kwa kumtumaini Mungu, kwa kuomba, kwa kutumaini mambo yataenda sawa. Kwa emotion, si kwa strategy.

Sishangai sana Polepole alivyofanya . Ningeweza kushangaa kama angekuwa anaishi kwenye nchi ya watu wanaoishi kwa strategy.

Angekuwa mtu wa ajabu na tofauti na wengine.

Sasa mtu kalelewa kwenye utamaduni ambao hauthamini strategic thinking.

Unategemea vipi aishi kwa strategic thinking?

Yani kwa vile kapata vyeo na kuwa balozi tu ndiyo mnataka kusahau umuhimu wa malezi na utamaduni wetu?
Nafikiri zaidi ya utamaduni. Pole pole amekuwa na nafasi za juu za uongozi, anajua mbinu wanazotumia viongozi kutafuta wakosoaji. Kwa vita aliyoanzisha nilitegemea sio tu awe na back up za kiusalama bali back up ya kufikisha ujumbe aliotaka kusema. Hakuna mahala ameacha tape? Unataka kuniambia Polepole alipanga kuishi mafichoni maisha yake yote? Bado nina imani kuna zaidi yanaweza kuibuka. Natamabi kusema RIP, ila ngoja nisubiri.
 
Kwanini hakuna chombo chochote cha habari kama magazeti au TV vinaripoti hiki?
Maana huyu alikuwa mtu mkubwa sana chamani.
 
Mkuu,

Hata hiyo chip yenyewe ni geresha tu.

Tulikuwa tunauliza sana kuwa what is the grand strategy? What is Polepole's strategy?

It turns out hakuwa hata na strategy ya kujilinda yeye mwenyewe, achilia mbali ya kukomboa nchi.

This is not a ridicule, this is evidenced by what happenned.
Baba yangu alowahi nambia.ikiwa utakufa kwa kuuwawa basi usife.kikondooo,,,,ilikua kwenye scenario ya uvamizi wa majambazi sehemu.inaitwa Katoro,,,, sasa.Polepole.hakua hata na bastola ?..
 
Nafikiri zaidi ya utamaduni. Pole pole amekuwa na nafasi za juu za uongozi, anajua mbinu wanazotumia viongozi kutafuta wakosoaji. Kwa vita aliyoanzisha nilitegemea sio tu awe na back up za kiusalama bali back up ya kufikisha ujumbe aliotaka kusema. Hakuna mahala ameacha tape? Unataka kuniambia Polepole alipanga kuishi mafichoni maisha yake yote? Bado nina imani kuna zaidi yanaweza kuibuka. Natamabi kusema RIP, ila ngoja nisubiri.
Nakwambia hivi, mnawa overrate sana hao viongozi wa Tanzania.

Pamoja na huyo Polepole mwenyewe.

Hawako as smart as mnavyofikiri.

Yani kuwa kiongozi Tanzania huhitaji kuwa that smart. Unahitaji kujua kujikomba, kujua ku network, kujua figisu na bahati.

Ndiyo maana kuna watu kwa nafasi zao walizoshika hamkutegemea wafanye mistake za kijinga hivi, halafu mnashangaa wakifanya.

Mnashangaa kwa sababu tangu mwanzo hawakuwa na uwezo mkubwa hivyo, ni nyie wenyewe tu mme wa overrate.
 
Vibaya zaidi, ilikuwa ukiuliza maswali kama hayo wanaharakati wanakushambulia na kukubandika majina mabaya kama yote.

Yani hawakuweza kuelewa kuwa kuhoji strategy si kupinga mabadiliko.

False dichotomy logical fallacy.
Kwenye ule uzi hakuna hata mtu mmoja aliyekubaliana na mimi, ilinishangaza sana.
Kwa exposure ya Polepole hata kama aliyoyaongea yana ukweli , hakupaswa kuyaongea bila kuwa na strstegic plan yenye athari. Kama aliongea kwa kutegemea backup ya akina Mzee Bujiku basi alikuwa fala sana.
 
Kwanza futa akilini kuhusu huyo uliyemu address kama afande tesha. Yule ni kijana mhuni tu ambaye hayupo kwenye kikosi jeshi chochote nchini.
Sijui kuhusu yeye ,,ila anaweza kua mtu wa mfumo ,,,,kumbuka pole pole anapenda kua live ,na ni rahisi watu wa cyber kukufatilia location ukiwa live KULIKO kurecord na kurusha after
 
Kwa Makombora aliyo kuwa anayatoa,sikutegemea abakie hapa bongo aisee..hata kama hakuna mtu wa kumchoma..kama ni kweli katekwa basi polepole ni mpumbavu.

Na pia hata hao watekaji wamechelewa sana kumdaka,walitakiwa wawe wamemdaka mapema zaidi.
Sure.Mkuu
 
Baba yangu alowahi nambia.ikiwa utakufa kwa kuuwawa basi usife.kikondooo,,,,ilikua kwenye scenario ya uvamizi wa majambazi sehemu.inaitwa Katoro,,,, sasa.Polepole.hakua hata na bastola ?..
Mkuu,

Polepole kwa maneno yake ni mtu wa imani kali kuwa Mungu anamlinda.

Mtu mwenye imani kali kuwa Mungu anamlinda hahitaji bastola.

Bastola ya nini wakati Mungu anamlinda?
 
Kwenye ule uzi hakuna hata mtu mmoja aliyekubaliana na mimi, ilinishangaza sana.
Kwa exposure ya Polepole hata kama aliyoyaongea yana ukweli , hakupaswa kuyaongea bila kuwa na strstegic plan yenye athari. Kama aliongea kwa kutegemea backup ya akina Mzee Bujiku basi alikuwa fala sana.
Nasikitika sana kusema kuwa Polepole was highly overrated.

Alifanya mambo kwa hisia na matumaini zaidi kuliko kwa strategy.

And now it shows.
 
Get lina pasuliwa kwanini hakurekodi ata kipande kidogo tu akatupia mtandaon
Ukiwasikiliza ndugu, kwanza inaonekana kuna mtu alipindukia cos zile nyaya za ulinzi (za umeme) zinazunguka ukuta zilikatwa, hiki ni kiashiria kuna alianza kupindukia ukuta, hatujui labda wanatumia yale airfresh wanayotumia wezi kukulaza usingizi mzito.

2. Angalia zile geti, ni kama ukiyotumika kykata ni mkasi au wakitumia machine za kukata maalamu
 
Back
Top Bottom