Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 24,843
- 26,968
Kituo kifuatacho ni walio wanao tuma kutekwa akina hppCapitaine Tesha, yapo mengi ya kufikirisha kwa huyu mjuba mpaka kutekwa kwa Camarade Polepole
Kituo kifuatacho ni walio wanao tuma kutekwa akina hppCapitaine Tesha, yapo mengi ya kufikirisha kwa huyu mjuba mpaka kutekwa kwa Camarade Polepole
Nahisi CPT Tesha katumika kama ChamboJe ni kweli kwa mambo mazito aliyokua anaongea bado aliamua kubaki nchini?.
Je hakuna na back up plan, zaidi ya hiyo chip?. Watu wanavunja get, wanavunja, mlango na kumzoa kama kuku bila back up plan kufanya kazi?
Je Kuna system ilimuahidi ulinzi na sasa wamemuuza?
NB: Afande Tesha ametumika kama Chambo kumtoa POLE POLE Mafichoni?.. make baada ya yeye kutoka hadharani na yeye wangu wangu akaruka, hewani kumbe tayari alikua kwa rada
capitaine tesha kaongea yaleyale ya kina polepole na hakuna reaction kwa mamlaka ya ajira yake masaa machache mbele polepole akadakwa, inafikirisha sana, time will tell truthNahisi CPT Tesha katumika kama Chambo