SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Kwanza kwa wale wasiofahamu...hiki Chuo cha Harvard huwa kinatajwa kama
'the best in the world' au tuseme the best in America...baadhi ya waliosoma
hapo ni Obama,Bill Gates na wengineo..ma scientist wakubwa,wafanyabiashara wakubwa
wa dunia,marais wa Marekani weeengi tu the list is endless....
Sasa kuna utaratibu hapo chuoni ambapo wanafunzi huwa wanaandikisha club zao mbali mbali
ambazo zikishakuwa zinatambuliwa na chuo...uongoziwa chuo hutoa misaada inayohitajika
ikiwemo pesa za kusaidia shughuli za club hizo.......
Sasa mwanafunzi mmoja ameenda kuandikisha club yake ya wale
'wanaopenda strange sex' akiamini labda yuko peke kumbe wapo tele lol
hii imezua gumzo mno pande hizo...wengine wakipinga na wengine wakiona ni sawa
Nimejikuta na connect hilo na siku nilipoleta mada hapa nikataja 'threesome' na
na reaction yake kumbe huko Harvard washatangulia zaidi lol
threesome haipo kwenye hata list ya strange sex lol
Swali hapa je unafikiri watu wenye 'akili saana' au 'wasomi saana'
wanakuwa zaidi na appetite ya 'strange sex'??
Harvard Gives BDSM Sex Club Official Campus Recognition
Mkuu the Boss, almost kwenye campus zote za US student life saa nyingine ni balaa tupu. Watu wana-have fun na at the same time they work hard in their studies.
Kuna mambo mengi sana ya ajabu yanayoendelea esp. thursday, friday and saturday nights huko doms, etc. Niliwahi kwenda Cancun na Panama City Florida wakati wa spring break.....siwezi kuanika kila kitu hapa. Kinachonishangaza ni denti wa huku kuwa crazy lakini buku pia wanapiga kichini na wako smart.
Sasa kwa nini ushindwe yaweka hapa?
hebu share basi aisee
holy raviolli!... siyo uchoyo The Boss,
... tatizo ni kwamba sijapatiwa na stumai kupata jukwaa mahsusi kuweza kuyaandika yaliyoyangu!
... nikiandika hapa nasita sredi yako haitadumu hata sekunde 10, maana hata lile jukwaa la kule mwishoni halitoshelezi kuyasitiri.
... na sitaki kuleta uthubutu kwani kwaweza kuleteleza JF kuminywa jumlajumla!:smile:
you get "goose bumps" so easily madam. sioni cha ajabu hapa, everything is among consenting adults and haikinzani na masomo/responsibilities za chuoholy raviolli!
Goose bumps, usifunguke mkuu. Achaga tu, missionery position ndo zinatufaa!
Again, what happens in Cancun, stays in Cancun. Ukiyafukua na kutaka kuyajua yanayotokea Cancun kila spring break, basi hata congressmen and women watajiuzulu kesho. Kukupa hint, kaangalie "Girls Gone Wild" utapata japo basharafOnly what happens in Vegas stays in Vegas..
Cancun can be shared unless labda wewe ndio ulikuwa mhusika mkuu lol
Very interesting topic kwenye suala zima la s-e-x..ila hizo threesome, 4some sihusudu kabisa!!
Hii inanikumbusha kitabu nilisoma kinaitwa ''50 shades of Grey'' kuhusu BDSM...na kuna jambo ningependa kuli-explore na partner wangu..I want him to be my Christian Grey for one night🙂)) he he he
Very interesting topic kwenye suala zima la s-e-x..ila hizo threesome, 4some sihusudu kabisa!!
Hii inanikumbusha kitabu nilisoma kinaitwa ''50 shades of Grey'' kuhusu BDSM...na kuna jambo ningependa kuli-explore na partner wangu..I want him to be my Christian Grey for one night🙂)) he he he
mwaka ujao itabidi niende huko Cancun lol
Why u think so..?
Imewahi kukutokea?
Ulienda kwenye events kama hii ukawa bored?