mkuu huyu Tully mnaopigiana simu siku iz au ndo yaliishia hukoPenpal Wangu Tully Wangu mazikumbuka sana zile barua nzuri zisizochosha za page 12 na zimeandikwa kurasa zote mbele na nyuma. Sidhani kama kizazi hiki kinafaidi mapenzi kama tulivyoyafaidi. Nalikumbuka sanduku langu la posta 1636. Mbeya. simu 2621 baadae ikaja ikabadilishwa na kuwa 502621. I will love you forever ndio special dedication kwako
Ni kweli kabisa hawa madogo wa siku hizi wasanii wao ni hawa wakina wiz khalifa wavuta bangi .......na mahaba yao siku hizi bila kuvutishana bangi wanakuwa bado kabisa ......tena kwa bahati mbaya wakivuta bangi wanakuwa hawatambuani jinsia zao vizuri matokeo yake wanagegedana jinsia moja halafu wanakuja kujua asubuhi bange zikiwa zimekata....
Bila kusahua pale chini kuandika neno PTO (please turn over )wacha kabisa barua imechorwa maua ndani mpaka nyuki wanakufuata au imepakwa mafuta ya ayu kama sio yolanda kulikuwa na viperemende flan hivi vyeupe unaweka penye sanduku vinafukuza mende.Penpal Wangu Tully Wangu mazikumbuka sana zile barua nzuri zisizochosha za page 12 na zimeandikwa kurasa zote mbele na nyuma. Sidhani kama kizazi hiki kinafaidi mapenzi kama tulivyoyafaidi. Nalikumbuka sanduku langu la posta 1636. Mbeya. simu 2621 baadae ikaja ikabadilishwa na kuwa 502621. I will love you forever ndio special dedication kwako
Mapenzi ndio hayo mlikuwa mnafanya kukumbukana kwa barua weka wazi hamkufanya matusi1.Simply The Best_TINA TURNER
2.My Best Friend_DON WILLIAMS
Maskini licha ya nyimbo hizi nzuri nilizowahi mtumia japo nae alikua aki reciprocate vizuri hatukuwahi fanya mapenzi.
Bibie kumradhi tungependa utujuze japo kidogo vijana wengi humu hawajui mambo ya kale yalikuwaje si vibaya ukafunguka ila napenda nitoe pole kwa kichapo ulichopokea maana kuna vichapo hata kama imepita miaka 20 ukikumbuka panaanza kuuma tena ulipopigwa.Sitaki hata kuwaza nlipokeaga kichapo sana enzi za barua, sijawahi kusahau....
Zamani ilikuwa raha sana, Demu wangu alikuwa ananifungia zawadi sana, kuna wakati mama yake alienda masafi ya mbaali alimleta zawadi akanifungia na kuniletea Home.Nikiwa form 3 demu wangu alinunulia t-shirt(white) na jeans blue...
Alifivunga kwenye box la zawadi na kimemo kidogo chenye maandishi mulua ya mahaba na dedication ya T-shirt na jeans.
hahah umenikumbusha mbali...i miss u like crayzLeo nimeusikia wimbo wa "Nothing gonna change my love for you" nikakumbuka sana swala la DEDICATION wakati ule tunatumiana Barua secondary.
Ebu tukumbushane wimbo au nyimbo gani ulipenda sana kuziandika kama dedication kwa PENIPAL wako a.k.a mpenzi wa secondary
Binafsi namkumbuka binti mmoja pale kilakala, wakati nikiwa VIAPAJI MAALUMU (NARUDIA VIPAJI MAALUMU) MZUMBE nyimbo nilizomdedicate hasa ni;
Nothing gonna change my love for you - George benson
careless whisper - George Michael
computer love - zapp n rogger (kimsingi nilikua sijui maana hasa ya neno computer, ila nilipenda tu neno LOVE, na bit za wimbo huo)
Hebu tujuzane sasa
hiii Love doesn't ask why inashika kasi hadi sasa.Love doesn't ask why - Celine Dion
I call it Love - Lionel Rich
My heart will go on - Celine Dion