Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

Miaka hiyo nilkua kadogo shule.Unakuta li bro la f4 au advance linaongea na demu wake alafu anamwambia msalimie mdogo wangu hapo ndo unapewa simu sasa hahahaha
Ww wa juzi usichangie uzi huu km unaongelea mambo ya simu hapa wakati wenzio tunaongelea barua na kadi
 
Your 're the only one, dedication kwa demu wangu wa barua alikuwa loleza girls '98.bado i love you sana baby popote ulipo.
 
You're Still The One - Shania Twain
aiseeee nmekumbuka mbali sana mapenzi yalikuwa zamani bwana sio siri unamfeel mtu kama nini sijui
 
Endless Love - Luther Vandross ft. Mariah Carey
 
Ni kweli kabisa hawa madogo wa siku hizi wasanii wao ni hawa wakina wiz khalifa wavuta bangi .......na mahaba yao siku hizi bila kuvutishana bangi wanakuwa bado kabisa ......tena kwa bahati mbaya wakivuta bangi wanakuwa hawatambuani jinsia zao vizuri matokeo yake wanagegedana jinsia moja halafu wanakuja kujua asubuhi bange zikiwa zimekata....
Daahh [emoji24]
 
Leo nimeusikia wimbo wa "Nothing gonna change my love for you" nikakumbuka sana swala la DEDICATION wakati ule tunatumiana Barua secondary.

Ebu tukumbushane wimbo au nyimbo gani ulipenda sana kuziandika kama dedication kwa PENIPAL wako a.k.a mpenzi wa secondary

Binafsi namkumbuka binti mmoja pale kilakala, wakati nikiwa VIAPAJI MAALUMU (NARUDIA VIPAJI MAALUMU) MZUMBE nyimbo nilizomdedicate hasa ni;

Nothing gonna change my love for you - George benson
careless whisper - George Michael
computer love - zapp n rogger
(kimsingi nilikua sijui maana hasa ya neno computer, ila nilipenda tu neno LOVE, na bit za wimbo huo)

Hebu tujuzane sasa
mill vanili-girl u know it's true, am gonna miss you,
 
Back
Top Bottom