Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 518
- 484
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]T-shirt na jeans- university corner
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]T-shirt na jeans- university corner
Hahahaaa.....we noma, T-shirt na jeans[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]T-shirt na jeans- university corner
Fly but stop to Honey Faith [emoji23][emoji23]Kwenye bahasha kule nyuma unaandika" kiss before you open" jamani tumetoka mbali.
Mkuu unaonekana ulikuwa mgumu kama mimi. Mimi zangu zilikuwa killer's ya kina dre na B. Real. One mic nas. Flavor in the ear Craig mag. Dream common ft nas.Affirmative action wa nas
Hahahaha yani ilikuwa shida siku ya barua unakaa attention kusikiliza kama umepata barua au kadi ndani unaipulizia perfume ya kila aina ili mradi umeomba ukapewa kidogo....[emoji1]Fly but stop to Honey Faith [emoji23][emoji23]
Duuuh! Mkuu ulitisha sana! Ni bonge moja ya nyimbo! Mashairi yake yameenda shule ndo maana demu aliingia mkenge bila kusita.duh huu wimbo nilimtongozsa dem mmoja anaitwa Karunde mkuu, nilicopy mashairi kwenye barua,
nakumbuka alinikubali ghafla
Ni kweli kabisa hawa madogo wa siku hizi wasanii wao ni hawa wakina wiz khalifa wavuta bangi .......na mahaba yao siku hizi bila kuvutishana bangi wanakuwa bado kabisa ......tena kwa bahati mbaya wakivuta bangi wanakuwa hawatambuani jinsia zao vizuri matokeo yake wanagegedana jinsia moja halafu wanakuja kujua asubuhi bange zikiwa zimekata....cupid-112 watoto wadogo hawawezi kuzijua hizi.