Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,094
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nooo...!!Nilikuwa napenda sanaaa huo wimbo, sio mie niliyekupa dedix kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nooo...!!Nilikuwa napenda sanaaa huo wimbo, sio mie niliyekupa dedix kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daahh!Khatari sana mambo ya kitambo mbaya zaidi kama ni disco ziro distance halafu tubelight kibao inabidi uwe kauzu tu kubambia maana kona zote jamaa wamewahi mnajifyatua tu akili hapo ukishindwa kuimbisha kama hakuwa mtu wako basi hesabu maumivu.Ndio nyimbo hizo zimekamata chat na ukiwa na uwezo wa kuziimba hapo mtoto hachomoi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] juzi mbali sana wa jana[emoji12]Mshana j..kumbe wa juzi tu...mi nlijua O timer...vitu kama cassanova...sexual healing..kumbe ni dot com kabisa...kci& jojo...[emoji3] [emoji3]
Yaah! the good old days tumetoka mbali wakati sijui umeenda wapi! Walikuwepo wakali wa ku dance lazima mfanye mazoezi ili siku hiyo usiaibike.Daah..
Ilkua noma sana enzi izo.
Watt wa skuiz hawayajui haya ,vtu flan crazy ila amaizing,vinaleta good memory foreveeeer
Tabu kweli kweli vijana wetu hawa ila hamna namna itabidi twende nao hivyo hivyo tatizo uyanki (umarekani )umekuwa mwingi tayari mtu anajiona kama thumni (50 cent )mwingine kama kanye west basi ni mchanyato wa ajabu.[emoji23] [emoji23] mkuu hii kitu imenifanya nicheke sana! kuna jamaa alikua msumbufu sana ukikutana nae eti njoo nikusikilizishe nyimbo afu kuimba hajui yaani full furugu na kushika zip
Mweeh umerudi kwa kishindodillema (nelly.and kelly )
Funguka bibie maana kwa mguno huo unadhihirisha pana mambo umeyakumbuka si vibaya ku share nasi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daahh!
acha tu!!
Hapana. Hizo ni dedications kwa watu tofauti. Kila moja ina represent mtu.Hii list yako mbona ndefu hivi mkuu au ulikuwa unafanya top ten show?
hahaha hamna bhanaMweeh umerudi kwa kishindo