Simu za mobile kulikua hamna ni mwendo wa barua tu. Akipata siku hiyo mtu ambaye hapatagi barua utasiki paredi watu wanalipuka ng'ombe kafa,Mara jogoo amechinjwa .aisee nimekumbuka back in timeMiaka hiyo nilkua kadogo shule.Unakuta li bro la f4 au advance linaongea na demu wake alafu anamwambia msalimie mdogo wangu hapo ndo unapewa simu sasa hahahaha
Heeh!Sangulo ya awilo
Dah umenikumbusha mbali Sana. Mpenzi wangu ambaye niko naye mpaka sasa alinitumia huu wimbo Kama dedication siku ya kwanza kabisa.Latifah By MB dog.. niliwahi kuidedicate kwa mke wa mtu. Kilichotokea sitasahau