Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

Wivu ukizidi nyumbani mapenzi yapungua
Wivu usio na maana waleta hasara
Umepata kitu gani bibi umemkataza kufanya kazi
Sababu eti achelewa nyumbani
Matatizo mengi sasa yakukuta
Mahitaji washindwa kumtekelezea
Wivu ukizidi nyumbani hasara
Matokeo yake ni kutoaminiana
Wivu unaleta ugonjwa wa moyo
Sababu ya kuweka mkeo royoni
Tuliza moyo kijana
Waacheni wake zenu waende kazini
Hawa walikuwa kurugenzi jazz band.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka mpk note 7 ikalpuka
Khatari sana mambo ya kitambo mbaya zaidi kama ni disco ziro distance halafu tubelight kibao inabidi uwe kauzu tu kubambia maana kona zote jamaa wamewahi mnajifyatua tu akili hapo ukishindwa kuimbisha kama hakuwa mtu wako basi hesabu maumivu.Ndio nyimbo hizo zimekamata chat na ukiwa na uwezo wa kuziimba hapo mtoto hachomoi.
 
Tatizo kila wimbo unakumbusha mpenzi fulani, halafu enzi hizo nyimbo ikiwa maarufu hio hio unaiweka kichwani hata ujumbe ukiwa wa maumivu.
1.end of the road-boyz2men
2.have u ever-brandy
3.never gonna let u go-faith evans
4.all my life-kci and jojo
5.un-break my heart- t. braxton
6.all the things-joe
7.miss you-case
8.lady in red
9.if i could turn back hands of time- r.kelly
10.i need you-m.anthony.
Hii list yako mbona ndefu hivi mkuu au ulikuwa unafanya top ten show?
 
"You're My Best Friend"

You placed gold on my finger
You brought love like I've never known
You gave life to our children
And to me a reason to go on.

You're my bread when I'm hungry
You're my shelter from troubled winds
You're my anchor in life's ocean
But most of all you're my best friend.

When I need hope and inspiration
You're always strong when I'm tired and weak
I could search This whole world over
You'll still be everything that I need.

You're my bread when I'm hungry
You're my shelter from troubled winds
You're my anchor in life's ocean
But most of all you're my best friend.
salute kwako bro hiki ni moja ya kitu kinacho nifanya nimuheshimu sana mzee don!!!
 
Wimbo wenyewe mistari mitano ukiona anaanza kuonyesha boxer au kaanza kushika sehemu ya mpini ujue wimbo umeisha hapo wenyewe wanakwambia mwanangu umeisikia ngoma yangu mpya ngoja nikusikilizishe
[emoji23] [emoji23] mkuu hii kitu imenifanya nicheke sana! kuna jamaa alikua msumbufu sana ukikutana nae eti njoo nikusikilizishe nyimbo afu kuimba hajui yaani full furugu na kushika zip
 
Khatari sana mambo ya kitambo mbaya zaidi kama ni disco ziro distance halafu tubelight kibao inabidi uwe kauzu tu kubambia maana kona zote jamaa wamewahi mnajifyatua tu akili hapo ukishindwa kuimbisha kama hakuwa mtu wako basi hesabu maumivu.Ndio nyimbo hizo zimekamata chat na ukiwa na uwezo wa kuziimba hapo mtoto hachomoi.
Daah..
Ilkua noma sana enzi izo.
Watt wa skuiz hawayajui haya ,vtu flan crazy ila amaizing,vinaleta good memory foreveeeer
 
Hero ~Enrique Iglesias..
Sometimes love just ain't enough~Patty smith
If you don't know me now~Harold melven& The blues.
It must have been love you ~Roxette.
Baby can I hold you ..Tracy Chapman..
 
Stuck on you....Lionel Richie
Bellerina Girl.....Lionel Richie
Power of Love..
Secret Lover....Atlantic Star
Lady in Red.....
Tell me what you want me to do....Kevin
Dream....Boys two men
.......bila kuwasahau wakali wa slows akina Gerald Levert Mariah Carey Earth wind n fire Babyface Tony Braxton dah umenikumbusha mbali mno.....Kuna Fredy Jackson....etc
 
Dah, unakaa assemble unaitwa jina ukachukue barua. Basi machalii wote wananizunguka kutaka kuona yaliyomo. Hahaha boarding school zilikuwa raha sanaaa haswa sie wa boy's tuuu
 
u sang to me!.

I call it love

my no one..(my first love)
 
Back
Top Bottom