Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

Real love by Massari
Lakini kuna siku nilipokea barua shule sitasahau.
Kama unavojua shule za boys ukipata barua kutoka demu wako basi bweni zima wanakua wageni wako.
Sasa siku hivyo nikawaambia subirini niisome halafu nitawapatia muone maneno matamu kutoka kwa Shem wenu, ile kuifungua dah! Maoigo ya moyo yakaongezeka kwani sikuamini nilichokua nakisoma, nilikua ni "KIBUTI" halafu dedication ule wimbo wa HAMA Q "Nilizani unanipenda"
Aisee nilichoka hata washkaji sikuwapa wasome sababu nilishavurugwa.
 
Back
Top Bottom