Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

Mambo ya dedication, vidume wa zamani njooni

Tatizo kila wimbo unakumbusha mpenzi fulani, halafu enzi hizo nyimbo ikiwa maarufu hio hio unaiweka kichwani hata ujumbe ukiwa wa maumivu.
1.end of the road-boyz2men
2.have u ever-brandy
3.never gonna let u go-faith evans
4.all my life-kci and jojo
5.un-break my heart- t. braxton
6.all the things-joe
7.miss you-case
8.lady in red
9.if i could turn back hands of time- r.kelly
10.i need you-m.anthony.
 
2016-10-25 19.34.29.jpg
Nimekumbuka mbali sana aisee..

Unaandika barua unabandika na stickers.. Lol.
 
Ni kweli kabisa hawa madogo wa siku hizi wasanii wao ni hawa wakina wiz khalifa wavuta bangi .......na mahaba yao siku hizi bila kuvutishana bangi wanakuwa bado kabisa ......tena kwa bahati mbaya wakivuta bangi wanakuwa hawatambuani jinsia zao vizuri matokeo yake wanagegedana jinsia moja halafu wanakuja kujua asubuhi bange zikiwa zimekata....
hao kina wiz nguo zao tu balaa, tshirt reeefu halafu suruali kama mfuko wa bunduki
 
Ah ah ah.
Huu uzi maalum kwa kidownload playlist yang ya love jams..
Daaah..
Enzi izo 0-level nawamix mtoto gile,best zake ellen na bite na lidada jack (7b ya uyoto lkn) kila late nyt msg ya karatasi ina dedx tam..
All my life kc jojo,careless whisper aseee ,i will always love u dada whitney daah r.i.p,..
It must hv been love,come away wc me,kiss frm a rose,mpk za kizulu wen a man loves a woman'
Mapenz noma kna day mpk unamdedxia ngoma ya kibongo..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wonderful old times
 
Uuuuuwiiiii umegusa penyewe
Am gonna miss you
Love you for life Kci n jojo etc
Mshana j..kumbe wa juzi tu...mi nlijua O timer...vitu kama cassanova...sexual healing..kumbe ni dot com kabisa...kci& jojo...[emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom