kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,997
- 2,577
na neno hili pia juu ya bahashaKwenye bahasha kule nyuma unaandika" kiss before you open" jamani tumetoka mbali.
"guess who"
na neno hili pia juu ya bahashaKwenye bahasha kule nyuma unaandika" kiss before you open" jamani tumetoka mbali.
Naikubali kichizi hii track......Love takes time by maria carey
za kipindi kile banaaaaJide Ndindindi hahahah
Yaaah hilo pia lilikuwa ni maneno pendwana neno hili pia juu ya bahasha
"guess who"
Kweli aisee halafu iwe ya miaka hata 5 what a shit!!!!Hahaha. Unastahili ban wewe.
duh huu wimbo nilimtongozea dem mmoja anaitwa Karunde mkuu, nilicopy mashairi kwenye barua,
nakumbuka alinikubali ghafla
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]you saved me by r kelly baada ya kucheza kibinda nkoi na demu aliyenisumbua sana
Hivi na wewe ni wa karne yetu Honey Faith, ulikulia kizazi cha kuandikiana barua? Hahaha, eti kiss before you open, umenikumbusha form two enzi hizo..Kwenye bahasha kule nyuma unaandika" kiss before you open" jamani tumetoka mbali.
Sasa jje's hiyo ya wozap si ya juzi kati tu. Kwani we hukijui kizazi cha 'penpal' enzi hizo simu ya mkononi ilikuwa nadra sana, wachache walimiliki.nimekumbuka nikabaki nikicheka mwenyewe, mimi sijui ni ushamba au nini cjui hata. Ila kuna jamaa alinifatilia muda mrefu nikagoma ila akakopy wimbo moja kwenye simu yake akanitumia through whatsup mbona nililainika? nilifikiri amekaa chini akaandika maneno yote haya jaman mbona ameteseka sana? nikamwonea huruma sanaaaa. Yaan alijikuta ameng'oa mzigo bila kutumia winchi. ila baadaye si unajua tena hizi group mambo ya kufowadiana msg? eti siku moja nikasikiliza clip nikasikia maneno yote niliyo ambiwa na mpenzi wangu. looooh nikajua niliingizwa chaka.
nimekumbuka nikabaki nikicheka mwenyewe, mimi sijui ni ushamba au nini cjui hata. Ila kuna jamaa alinifatilia muda mrefu nikagoma ila akakopy wimbo moja kwenye simu yake akanitumia through whatsup mbona nililainika? nilifikiri amekaa chini akaandika maneno yote haya jaman mbona ameteseka sana? nikamwonea huruma sanaaaa. Yaan alijikuta ameng'oa mzigo bila kutumia winchi. ila baadaye si unajua tena hizi group mambo ya kufowadiana msg? eti siku moja nikasikiliza clip nikasikia maneno yote niliyo ambiwa na mpenzi wangu. looooh nikajua niliingizwa chaka.
ndipo nilipogundua ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu.
Big up kwako wewe Mkuu uliyefanikiwa kwa stail hii maana nina uhakika umo humu.
NB: Ilikuwa zaman kabla sijawa na STUNTER
najua ila kipindi hicho na mimi sikuwa na dedicate nyimbo maana wazazi waliniasa nisikae karibu na wanaume.Sasa jje's hiyo ya wozap si ya juzi kati tu. Kwani we hukijui kizazi cha 'penpal' enzi hizo simu ya mkononi ilikuwa nadra sana, wachache walimiliki.
Hawakujua thamani yako,nimekumbuka nikabaki nikicheka mwenyewe, mimi sijui ni ushamba au nini cjui hata. Ila kuna jamaa alinifatilia muda mrefu nikagoma ila akakopy wimbo moja kwenye simu yake akanitumia through whatsup mbona nililainika? nilifikiri amekaa chini akaandika maneno yote haya jaman mbona ameteseka sana? nikamwonea huruma sanaaaa. Yaan alijikuta ameng'oa mzigo bila kutumia winchi. ila baadaye si unajua tena hizi group mambo ya kufowadiana msg? eti siku moja nikasikiliza clip nikasikia maneno yote niliyo ambiwa na mpenzi wangu. looooh nikajua niliingizwa chaka.
nimekumbuka nikabaki nikicheka mwenyewe, mimi sijui ni ushamba au nini cjui hata. Ila kuna jamaa alinifatilia muda mrefu nikagoma ila akakopy wimbo moja kwenye simu yake akanitumia through whatsup mbona nililainika? nilifikiri amekaa chini akaandika maneno yote haya jaman mbona ameteseka sana? nikamwonea huruma sanaaaa. Yaan alijikuta ameng'oa mzigo bila kutumia winchi. ila baadaye si unajua tena hizi group mambo ya kufowadiana msg? eti siku moja nikasikiliza clip nikasikia maneno yote niliyo ambiwa na mpenzi wangu. looooh nikajua niliingizwa chaka.
ndipo nilipogundua ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu.
Big up kwako wewe Mkuu uliyefanikiwa kwa stail hii maana nina uhakika umo humu.
NB: Ilikuwa zaman kabla sijawa na STUNTER
Mkuu hii track ni nzuri sana, Ila napenda kukuambia kuwa baada ya 112 kusambaratika hii track ilirudiwa na Q Parker kama solo artist, huyu Q Parker alikuwa ni mmoja wa wanamuziki waliounda kundi la 112. Kusema ukweli jamaa ameiimba vizuri zaidi kuzidi ile original track. Unaweza kuisikiliza hapa chinicupid-112 watoto wadogo hawawezi kuzijua hizi.
hahahhahahahaha jaman thanks. I thought you would be mad at me.Hawakujua thamani yako,
mimi ninayeifahamu wacha nikupende...