Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Said I love you but I lied hahahaah
Hahahahaha na mie ni wa enzi hizo yani full raha kupokea barua kwanza unaangalia stemp ni ya muhuri wa mkoa gani[emoji1] .Ukiona ni Kule kwenye koloni lako furaha inaongezeka[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi na wewe ni wa karne yetu Honey Faith, ulikulia kizazi cha kuandikiana barua? Hahaha, eti kiss before you open, umenikumbusha form two enzi hizo..
Hahaha kwanini?chief wakati huo ulikua shule gani???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaahh!nimekumbuka nikabaki nikicheka mwenyewe, mimi sijui ni ushamba au nini cjui hata. Ila kuna jamaa alinifatilia muda mrefu nikagoma ila akakopy wimbo moja kwenye simu yake akanitumia through whatsup mbona nililainika? nilifikiri amekaa chini akaandika maneno yote haya jaman mbona ameteseka sana? nikamwonea huruma sanaaaa. Yaan alijikuta ameng'oa mzigo bila kutumia winchi. ila baadaye si unajua tena hizi group mambo ya kufowadiana msg? eti siku moja nikasikiliza clip nikasikia maneno yote niliyo ambiwa na mpenzi wangu. looooh nikajua niliingizwa chaka.
nimekumbuka nikabaki nikicheka mwenyewe, mimi sijui ni ushamba au nini cjui hata. Ila kuna jamaa alinifatilia muda mrefu nikagoma ila akakopy wimbo moja kwenye simu yake akanitumia through whatsup mbona nililainika? nilifikiri amekaa chini akaandika maneno yote haya jaman mbona ameteseka sana? nikamwonea huruma sanaaaa. Yaan alijikuta ameng'oa mzigo bila kutumia winchi. ila baadaye si unajua tena hizi group mambo ya kufowadiana msg? eti siku moja nikasikiliza clip nikasikia maneno yote niliyo ambiwa na mpenzi wangu. looooh nikajua niliingizwa chaka.
ndipo nilipogundua ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu.
Big up kwako wewe Mkuu uliyefanikiwa kwa stail hii maana nina uhakika umo humu.
NB: Ilikuwa zaman kabla sijawa na STUNTER
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]lesi wanyika.sina makosa
Bruh [emoji23] [emoji23]Ni kweli kabisa hawa madogo wa siku hizi wasanii wao ni hawa wakina wiz khalifa wavuta bangi .......na mahaba yao siku hizi bila kuvutishana bangi wanakuwa bado kabisa ......tena kwa bahati mbaya wakivuta bangi wanakuwa hawatambuani jinsia zao vizuri matokeo yake wanagegedana jinsia moja halafu wanakuja kujua asubuhi bange zikiwa zimekata....