Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,892
We! Tena we! Kama hujui kitu nyamaza! ! Honey budger ni mwoga? We umesomea tour guide wapi? Umesomea wapi ecology wewe? Yaani mnyama mkorofi kuliko wote na jasiri kuliko wote unamwita mwoga? Honey budger au ratel ndo mnyama mkorofi kuliko wote, anakimbiza na kula cobra, black mamba kama hana akili nzuri. Anawatoa nduki simba na chui vibaya . Wee! tena wee! Tafuta documentary ya wanyama wa Kalahari.Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh:
Kunguru
Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh:
Hamjui vizuri nyegere!usilogwe atie jino lake mguuni !haachii labda umkate kichwa!Huyu ni mnyama jasiri kuliko wote unaowafahamu, hamuogopi binadamu sembuse kamendegere!!!! Usifanye mchezo na honey badger.
Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh:
Nyegere ww humfaham utakuwa umechanganya majina
Huyu ni Ndege
jamani Huyu nyegere ndo yupi..sijapata kumsikia daima kwenye list za wanyama..na anapatikana kanda zipi hasa?nianze kujihami mapema maana nipo msituni
Kuna mnyama anaitwa honey badger au nyegere, ni muoga sana! :heh:
Mkuu mshukuru mungu kamfanya nyegere kuwa miongoni mwa wanyama wadogo ,ukweli nyegere ni mmojawapo wa wanyama wakali,jasiri ambao huwezi kuwaua without a fight!pia ndio mnyama pekee atembeaye kwa miguu minne ukiondoa jamii za masokwe anyemudu kutumia nyenzo kufanya mambo yake,hii maana yake anaufahamu mkubwa,inshort badger is badass!
sio nyenyere kweli????
majina mengi ya kikabila nahisi
embu tumieni kisahili wakuuu
Kunguru
Masai Dada soma muundo wa sentensi nzima!kwa kawaida binadamu anatumia miguu miwili (miguu ya nyuma)kutembea na anauwezo wa kutumia nyenzo (vitendea kazi) kwa mikono yake(miguu ya mbele kwa mnakashi huu).mkuu mnyama pekee anayetembea kwa miguu minne ????????
mkuuu wanyama wako wengi jamani kina tembo,tumbili,twiga
au kuna ulihomaanisha kingine?
Gwajima,
.................. analianzisha mwisho wa siku kwenda polisi anaomba waumini wamsindikize...............
Masai Dada soma muundo wa sentensi nzima!kwa kawaida binadamu anatumia miguu miwili (miguu ya nyuma)kutembea na anauwezo wa kutumia nyenzo (vitendea kazi) kwa mikono yake(miguu ya mbele kwa mnakashi huu).
Jamii ya masokwe,kima na wajomba zao wanfanya kama binadamu kutumia vifaa kwa ajiliya shughuli zao,ila kwa wanyama watumiao miguu minne-simba tembo ,paka mbwa nk hawatumii vifaa kufikia malengo yao isipokuwa badger(nyegere)akiona ukuta mrefu hawezi kuukwea atatafuta kitu iwe jiti au kifaa chochote kile ilimradi apinguze urefu wa ukuta!wakati wakina simab watatafuta sehemu ya kupenya au pale pafupi,nyegere ani face problem hazunguki!
nadhani umenipata