1. Mtoto ananunuliwa hospitalini
2. Kufanya sex/ngono ni mambo ya ma balaa(ya kishetani)
3. Mtoto wa kiume hatakiwi jikoni atakuwa na tabia za kike
4. Mtoto wa Kiume haoti moto
NB: no. 3 & 4 nilisikia maeneo ya village kwetu nilikozaliwa.
no 4. Nilidadisi nikaambiwa na elders kuwa mwanaume sehemu ya kuzalisha/kiwanda mbegu za kiume iko nje ya mwili ambapo akiota moto hasa mkali itaadhiri uzao wake.
Tuendeleee mengine waliotudanganya ni nini?
firgisi ya kuku ni ya baba1. Mtoto ananunuliwa hospitalini
2. Kufanya sex/ngono ni mambo ya ma balaa(ya kishetani)
3. Mtoto wa kiume hatakiwi jikoni atakuwa na tabia za kike
4. Mtoto wa kiume haoti moto
nb: No. 3 & 4 nilisikia maeneo ya village kwetu nilikozaliwa.
No 4. Nilidadisi nikaambiwa na elders kuwa mwanaume sehemu ya kuzalisha/kiwanda mbegu za kiume iko nje ya mwili ambapo akiota moto hasa mkali itaadhiri uzao wake.
Tuendeleee mengine waliotudanganya ni nini?
wakubwa wakinawa ukanywa maji walionawia utapata baraka
Mh NATA hii ya wapi..kwetu uchagani KIDARI ndo cha baba...hata iwe njiwa au kitoronto!!!firgisi ya kuku ni ya baba
- Ati watu wakubwa hawanyi...ukimwona baba anaenda ******, ujue anaenda kutema mate tu.
- Kidudu chako ni cha kukojolea tu!!!!
- ukilia kwenye sufuria hutaoa (dat explains it eeh...maana nshachoka mimi kungoja mke mwema!lol)
- etc.