Mambo tuliyodanganywa utotoni

Watu wengi ikitokea wote wamekaa kimya kwa mpigo basi wanasema "...SHETANI KAPITA."

Pochi za Wadada wa Kimakonde, hazifungi.

Ukiota mwili uko majini basi umekufa wewe.

Usisalimie mtu akiwa kwenye kiunzi cha Mlango........

Ukichukua maji ya baharini, hufiki nayo BARA.

Nimeipenda hii ya kuwekewa NJIA kwenye HINDI. Babu alikuwa akipenda ka mchezo ka kukuita na kukushika sehemu na anavuta ugoro. Hadi leo sielewi uhusiano wa Nyeti za mtoto na kuvuta ugoro. Sijui na mie ningelisema "babu na mie nataka kuvuta" sijui ungelisemaje? Au ningeshushiwa kipigo tu na yakaisha?
 
Hiyo ilikuwa ni njia mojawapo ya kuangalia kama korodani zako zipo sawa!
 
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!
 
Mjusi kafiri anahesabu nywele za binadamu, akikuhesabu akimaliza tu una DIE/kufa

Ha ha ha kweli mzee hata mm niliisikia na niliogopa kulala sehemu za wazi au barabarani

Mtu akikung'ata paka mavi ya kuku meno yake yataoza
ukimwona zeruzeru tema mate ndani ya shati la sivyo na wewe utakuja kuzaa zeruzeru
bibi yako mke wako
mwenye jina la mama au dada yako ni mama au dada yake

Wewe si ajabu tunatoka kijiji kimoja .........

hee jamani mbona mie siku danganywa na vitu kaa hivi?

mtoto niliambiwa kuwa yumo tumboni na anakuwa mkubwa kila siku na hospitali unaenda kumtoa kwa mtindo wa kama kwenda haja kubwa :)

mh wewe labda umezaliwa 1. Tandale/kariakoo maeneo ya mchikichini

Ukimchungulia mama mkwe unaota kisekenene

Ndio nini hio mkuu????

- Ukimeza mbegu za machungwa zitaotea kichwani

Hata mimi walinitishia na huu uongo wao.

Sijui hii ilikuwa ni imani au vipi; ilikuwaUkienda kununuja chumvi dukani usiku husemi chumvi "unasema dawa ya mboga au dawa ya jikoni" halafu ukisema chumvi mwenye duka anakwambia haipo!

Sijui kwa nini hata mpaka leo kjijini kwetu wana practice huu msemo.

Na ukikutana na mtu akikwambia usiku usiku unatakiwa useme mchana ukisema usiku anakuua.
 
Hiyo ilikuwa ni njia mojawapo ya kuangalia kama korodani zako zipo sawa!

Ha ha ha ha wazee wetu hawakuwa na darubini au siti skani ila walikuwa vichwa, nasikia wakikuta ziko juu sio chini wanaanza tiba immediately
 
Mkiwa mmekaa kikundi mnaota moto mmoja akifuatwa na moshi basi ana tabia ya kujijisaidia haja ndogo au kubwa njiani
Usiruke ( usitambuke) mwichi wa kutwangia utaota majipu.
Mtoto wa kuume usikalie mafiga utaota matiti
 
ukikojoa chini temea mate
mwiko kufagia usiku
ukiskia bundi analia usiku jua kesho mtapata msiba
ukila miguu ya kuku unakuwa mtembezi
 
ukimcheka mkwe wako unaota sekenene

ukikaa na watu wazima kama ni mtoto peke yako, mtu mzima akijamba unatakiwa useme ni wewe.
 
Watu wengi ikitokea wote wamekaa kimya kwa mpigo basi wanasema "...SHETANI KAPITA."

Pochi za Wadada wa Kimakonde, hazifungi.

Ukiota mwili uko majini basi umekufa wewe.

Usisalimie mtu akiwa kwenye kiunzi cha Mlango........

Ukichukua maji ya baharini, hufiki nayo BARA.

Nimeipenda hii ya kuwekewa NJIA kwenye HINDI. Babu alikuwa akipenda ka mchezo ka kukuita na kukushika sehemu na anavuta ugoro. Hadi leo sielewi uhusiano wa Nyeti za mtoto na kuvuta ugoro. Sijui na mie ningelisema "babu na mie nataka kuvuta" sijui ungelisemaje? Au ningeshushiwa kipigo tu na yakaisha?

Hii ya KUTOBOLEWA njia mimi sikuipenda kabisa, mhindi ukiiva tu unaambiwa haya leta nikutobolee njia unataka kwenda wapi? Dar, Tabora au Mwanza -- Mzee ukijibu tu UMEKWISHA. anatoboa njia nene ili usikwame wakati wa safari ha ha ha

Mimi niligoma, sasa adhabu yangu nifukukuzwa kipindi cha hadithi eti ni mjeuri - sikujali nachukua hindi langu nakaa pembeni naondoka kwenye Moto (Kekome)

Kwa Sikonge atakumbuka maneno haya yanasemwa na babu..

We msula wakana hudu kudulile nzela? uhafume ha kipembo na hatumigani twishwe hudu wize kupukekezya.... (extenal service)

Babu yangu alikuwa mkoloni - RIP.
 
ukikojoa chini temea mate
mwiko kufagia usiku
ukiskia bundi analia usiku jua kesho mtapata msiba
ukila miguu ya kuku unakuwa mtembezi

Na kuna ile tulidanganywa kama kuna msichana unampenda na huwezi kumwambia vizia akojoe halafu unatafuta manyoa ya ndege fulani ana mkia mreefu unachomeka hapo katikati ya mkojo wake then atawashwa na kukutafuta mpaka ..........

kali zaidi ni ile mtu mwenye kipara amesoma hadi amaliza elimu yote ya duniani hadi nywele zimenyonyoka.

Ha ha ha ha hii ilkuwa inadiscourage kusoma kwa vile sio wote wanaopenda vipara
 
1.Usipulize mluzi usiku utaita mashetani
2.Ukipita makaburini usigeuke nyuma na utembee mwendo wa haraka sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom