Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,672
- 134,377
Nadhani kuna jambo ambalo ccm inaweza kufanya kujiokoa- kujisafisha, kukubali kubadilika, kwenda na wakati.Sidhani kama kuna lolote ambalo ccm inaweza kufanya kujiokoa.
Ishi, hivi kujua kwanini CCM ilishindwa mpaka waka-amua kuchakachua matokeo ya uchaguzi mkuu ilihitaji kuajiri consultant? Hata mwenye uelewa mdogo wa darasa la 7 angetoa jibu hilo hilo! "KUKUMBATIA UFISADI na MAFISADI". Sasa kama CCM hawakujua hilo mpaka waka-ajiri consultant basi hakuna wenye hekima CCM.
Wabunge wenu wangerudisha magari basi tuuone mfano!
Lipo! Kuachana na ufisadi kwa vitendo.
Confirmed, Kikwete kavunja CC na Sekretarieti muda si mrefu. Nimeithibitisha toka kwa source mmoja ndani ya CCM
Tatizo la Lowasa sio kura za watanzania kwa sasa. Tatizo lake ni namna gani atajijenga ndani ya chama ili ateuliwe. Lowassa haishi leo, anaishi June/July 2015 wakati wa kura za maoni CCM. Akipenya hapo nani atamzuia tena bwana? Na humo CCM sio kwamba wanambania kwa sababu ati hawampendi. Sababu hasa ni kwamba wapo wengi wenye malengo ya 2015 na wapo wanaomtukuza EL mchana lakini usiku wanamloga ili nao malengo yao yapate kutimia. So kazi ipo kichama zaidi. Mambo mengine endelea kufuatilia habari hizi, thanks to mugumu.mkuu, labda ungetoa ufahamu wako juu ya lowassa, hii ingelisaidia wana jf na wengineo kwa ujumla kujua undani wake haswa,,, pliz help us with the info about him
Mlisema haya 2010,mtasema 2015,mkishagawanyika mtasema tena 2020.....subirini makombo myape kadi zenu!Usikasirike my brother ndiyo hali halisi hakuna cha kufanya jiandaeni kuugulia machungu ya chama cha upinzani the trum is gone and its too late to catch it! Tuliwabembeleza kwa luga zote za wanadamu na za malaika mkajiona mko juu sana. There are power and powers; this time the powers have decided to be realy and you will see how it perfectly work kwa mikono yenu mtajimaliza na mkisha tumia silaha zenu zote za maangamizi basi mta kuja kujikabidhi mikononi mwetu.
Mi naipenda sana CCM. Sipendi atoswe mtu.
Meli imeng'oa nanga, kwa nini utose baharini, si usubiri pwani 2015.
Sipendi atoswe JK,EL, RA, Karamagi, Chenge, Sumaye, mramba, Makamba. Kwa nini?
Muwe na subira wanaCCM
2015 mnatoswa en bloc. Na Tanzania yenye mafisadi-free generation itazaliwa.
Mlisema haya 2010,mtasema 2015,mkishagawanyika mtasema tena 2020.....subirini makombo myape kadi zenu!
Nahofia thread hii isije ikayaingiza mkenge magazeti yetu fulani fulani kwa kuripoti kama habari. Nina wasiwasi ikawa imevujishwa kuangalia hali ya hewa na huenda isiwe hivyo kabisa. Inawezekana ushauri wangu umechelewa kwani magazeti mengi yatakuwa yameshachapwa sasa. Waiting to read from Mwananchi na Tanzania Daima. I hope this tym hawataukwaa mkenge kama ule wa habari ya Sita, Magufuli, na Mkuu wa Mkoa wa Shy! Yote yalianzia huku huku mtandaoni!
Hivi na nyie wenzangu kumbe mnaumwa vichwa hivvi; huyu JK mzee wa KITENESI kwa kila gawio la ufisadi wowote nchini apate ubavu kumfukuza FISADI yeyote kutoka CCM aringeee????????????????
Mbona wote wote tu wataanza kumzodoa na kila mmoja kuanika hadharani vyakunyonga vilinavyoendelea kutafunwa mgongoni mwetu nchini???????????
umenena mkuu hata mugumu mwenyewe kasema kuwa mkuu alikuwa hajui kuwa kuna watu wana mpango wa kumvua kofia yake so hapa mbio zote ni katika kutetea kiti cahke na kumaliia miaka yakeUkufuatilia post za Mugumu utagundua sababu ya msingi ya maamuzi hayo ya kuvunja CC, ni ili kujiokoa! Si kwa sababu ya kuvua gamba!
Gamba la ccm wote tunalijua, hivyo wakilivua wote tutajua kweli wamevua gamba. Hii ya sasa hivi ni kupukutisha majani kutoka kwenye matawi yake na gamba bado hata halijaguswa. TAFAKARI!
Kwanza big thanks kwa Mugumu natumaini pia kuwa isije ikawa kama anavyoeleza hapa juu Maishamapya....hizi habari wana JF tuzichukulie kwa umakini zaidi na kwa uangalifu pia...Na ningeshauri si kwa hii habari tu bali na zingine zijazo there many fishy things coming out nowdays...Ila nachelea kusema kuwa mimi naamini kuwa CCM hata waafanye sijui nini sijui overhauling ya chama nothing will work for them ....Serikali yetu yote ni CCM viongozi ambao ni corrupt na wanafanya kazi kwa maslahi ya kundi lao tu hivyo ni imposibble ni sawa na mwafrika kujipaka mkorogo wala hakumbadilishi pua lake wala nywele zake za kipilipili.....
TUENDELEE NA MAPAMBANO......
I don't believe in god...so whatever!Usiwaite watu wa Mungu makombo maana nawe unaweza kuitwa hivyo siku moja na sidhani kama itakufurahisha.