Kwani ndugu zangu si tunawataka viongozi bora au tunachokitaka ni kipi????????????????????mbona kwenye ukweli bado mnazungukazunguka tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!nani hajui kuwa hata mnyika anamkubali Nape?cha kujiuliza hapa ni je,Nape ataweza kuwamudu hawa mafisadi wengine na siyo kumlinganisha na Mnyika,NAPE ni Jembe kubwa sana kwa Mnyika na hata Lema,hajaanza siasa leo na isitoshe amezaliwa ndani ya siasa,hakurupuki na ndio maana CCM ya Makamba walipomtosa kugombea Ubunge jimbo la Ubungo hakuropoka wala kuhamia chama chochote cha upinzani,alibaki na CCM yake,this was what impressed Jk hadi akamteua kuwa DC na hatimaye kumteua tena kuwa Katibu wa Siasa Itikadi na Uenezi wa Taifa,this guy ni mvumilivu.
Ishu ya kuwa anamvuto inategemea na your look kwake,ila kisiasa ana mvuto sana tu,kwani hata CHADEMA walimuwinda sana baada ya kutoswa kule ubunge,hata kuthubutu kumvalisha bendera yao.BILA CCM IMARA TANZANIA ITAYUMBA,by JK wa kwanza.