Kwani cdm nani ana mvuto kuzidi nape?
Wanajf
Baada ya kufanya kazi kubwa ya kukisafisha Chama sasa hivi kinaanza kumeremeta
Nakumbushia mkoa wa DAR es salaam kuandaa maandamano makubwa ya kumpokea na kumpongeza
Hata wanaJF wenye mapenzi mema na JK na MUkama kuwapa nguvu maana TANzania inazaliwa upya

Sijui UVCCM watasemaje maana walimuandama sana Nape Nauye