Kwa upande wake, aliyekuwa Naibu Katibu Bara, George Mkuchika, alisema kuwa muundo wa chama kwa sasa utahakikisha kuwa wajumbe wote wanaoingia kwenye sekretarieti wasiwe wabunge wala mawaziri, ili waweze kufanyakazi za chama kwa ukamilifu.
Safari hii hatutakuwa na kofia mbili. Awali wajumbe wengi walikuwa mawaziri na wabunge, hali ambayo ilisababisha shughuli za chama kusimama, alisema. Hata hivyo, baadhi ya wanachama walikaririwa wakisema kama lengo la chama ni kutenganisha kofia ili kuleta ufanisi, utaratibu huo uwekwe hata kwa rais ili abaki na kofia moja ya urais.
hii itawezekana kweli? tungoje