Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Muwape pesa maana wenye fedha za EPA bado wapo!!!!!!!!!!!! SISIEMU kwa ghiliba hamjambo!!!!!!!!!!Wanajf
Baada ya kufanya kazi kubwa ya kukisafisha Chama sasa hivi kinaanza kumeremeta
Nakumbushia mkoa wa DAR es salaam kuandaa maandamano makubwa ya kumpokea na kumpongeza
Hata wanaJF wenye mapenzi mema na JK na MUkama kuwapa nguvu maana TANzania inazaliwa upya