Mambo matano ya kutia moyo kwenye tukio la muuaji Hamza

Hate versus Police ni kubwa sana kutokana na dhuluma zao na kubambikiza wananchi makosa, jokes aside unahitaji kuwa na ngozi ya mamba kuwaonea huruma Polisi...
nyie mbw humu jf jukwaa la siasa ndio mmebaki na huu ushamba wenu.

Huko uraiani hakuna ujinga ujinga wenu,angalia wananchi mashuhuda na wasimuliwaji walivyolipokea tukio lile. Ndio mtajua bado mna safari ndefu juu ya kampeni zenu za maandazi.
 
Ninakumbuka miaka ya themanini,wakati nipo JKT,Kuna mwenzetu mmoja,alipitiwa na usingizi,aliweka silaha hovyo ,afande mmoja akaja kuchukua silaha na kuificha,ninakumbuka tulihenyeshwa wote kwa maelezo.

Kuwa tulikuwa wapi wote wakati silaha inapotea,mwenzetu ambaye alikabidhiwa silaha na sisi wengine wote ni wazembe.Tukio lile ninalinganisha na tukio la jana,ambalo Hamza alitwaa silaha za Askari wetu na kuleta taharuki huko karibu na ubalozi wa ufaransa.
 
mbwa mmoj anataka achote mawazo ya wananchi kwamba hawawapendi polisi.

kisa bana ake yuko ndani,haiwezekani.
Wewe wataka wawemo wangapi humo NDANI ili ukubali kuwa kuna UONEZI unaofanywa na POLISI?

Kwa hiyo wewe hujali kuwa kuna binadamu wananyanyaswa kwa vile TU hamna ndugu yako mle ndani?

HUO ni udhaifu mkubwa ambao unazidi kukomaa na kuwa ugonjwa hapa nchini kwetu.

AIBU hii iliyokomaa zaidi wakati wa MWENDAZAKE, ndio LEGACY yake
 
subiri wakuibie na mke kabisa,ndio utawajua vizuri na udhurmati wao.
Ndugu,
Yaonekana hujijui kabisa, shetani amekuteka JUU MPAKA CHINI.
WATZ tunahitaji kufanya MAOMBI makubwa, ili wewe na aina yako mupate kukombolewa toka kwa mwovu SHETANI anaetaka kumiliki TAIFA hili.
 
Ushauri mzuri kwani pengine kingekuwa ni kikosi maalum hata asingeuwawa. Kungekuwa na amri moja na ungetumika utaalam wa kumfanya amalize risasi na baadaye akamatwe kama asingeamua pengine kujiua. Na hiyo ingesaidia kutafuta link ya upelelzi
 
nyie mbw humu jf jukwaa la siasa ndio mmebaki na huu ushamba wenu.

huko uraiani hakuna ujinga ujinga wenu,angalia wananchi mashuhuda na wasimuliwaji walivyolipokea tukio lile.
ndio mtajua bado mna safari ndefu juu ya kampeni zenu za maandazi.
Wewe koplo bhanaa!! Akhsante sana kwa kutudhihirishia kuwa wasemayo watu kuhusu ninyi ni kweli.
 
1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana.

2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia waendesha magari madhara yangekuwa makubwa zaidi ikiwemo kukutana na risasi....
Unawapa kongole jeshi la polisi.
 
Swali kujiuliza kwanini polisi walikuwa wanataka washambuliane? Je inawezekana jamaa hakuwa mhalifu ndio maana askari mwenzao akawa anazuia wenzake wasimuue? Na wakati huo huo wenzao wanataka kuondoa ushahidi?..
Yani Mtu kashafanya ambush(shambulizi la kushtukiza) na kuua Askari wawili kisha kachukua silaha kubwa akiendelea kutafuta Askari wengine awaue afu bado aendelee kuachwa eti si muhalifu?

Hivi huwa mnafikiri kabla ya kuandika ujinga hapa au mnaandika ilimradi tu nanyi muonekane ni wajuaji wa kila kitu?

Vipi ikiwa angeachwa afu akamaliza Askari wote kwa kuwaua kwa silaha, unajua dhamira yake ilikuwa ni ipi hasa baada ya kuua Askari wote waliokua eneo la tukio?
 
Ushauri
Tutumie utaratibu uliotumiwa na Kenya wa kuwa na kikosi kimoja Cha kupambana na Ugaidi kinachoundwa na vyombo vyote na chenye commanding system moja. Nakumbuka Bunge la Kenya lilipofanya tathimini ya athari za tukio la Westgate walibaini askari walipotea kwa sababu walirespond at a time lakini wakiwa na uniforms mbalimbali na wakiwa na viongozi tofauti, kila kikosi kikawa kinajifanyia kinavyoona na kufanya washambuliane ndani.

Kongole kwa jeshi la Polisi.
At least kuna mtu anaona hili tukio kwa jicho tofauti. Hongera kwa huu ushauri mzuri.
 
nyie mbw humu jf jukwaa la siasa ndio mmebaki na huu ushamba wenu.

huko uraiani hakuna ujinga ujinga wenu,angalia wananchi mashuhuda na wasimuliwaji walivyolipokea tukio lile.
ndio mtajua bado mna safari ndefu juu ya kampeni zenu za maandazi.
Hao hawana akili, yani wanatufanya sisi hatuishi na hao Polisi mitaani au sawa na vile kila Mtanzania alishawahi kudhulumiwa na Polisi.

Watanzania tuna roho za kipumbavu sana.

Walifariki wale Askari wetu wa JW 14 pia walikuwa wanawatukana na kuwaponda kama vile wao na siasa zao uchwara ni malaika.

Juzi wamefariki TRA, pia ni mwanzo mwisho kuwatukana na kuwaponda daaah...!

Hii TZ kuzaliwa ni bahati mbaya sana si kwa chuki hizi aiseee.
 
Sasa huoni hapa pekee tofauti iliyopo katika muundo wa jeshi la polisi la Kenya na Tanzania? Au ushauri wako ni kutaka Tanzania iige tu kwa vile Kenya walifanya!

Ukichukua mfano wa 'Westgate', halafu ufananishe na hili tukio la mtu mmoja (at least kwa sasa, bado inajulikana ni 'lone ranger', halafu ufananishe na tukio lililopangwa na kundi la watu, bado unaonyesha kwamba matukio haya huyaelewi vizuri.
Na nahisi hiyo timu moja kutoka vikosi mbalimbali iliishaundwa tangu enzi za JPM na ndio ilikuweza kudhibiti matukio mengi ya kihalifu. Labda huyu mhalifu alikuwa anatest kama bado kipo ama la na jibu amelipata!
 
Ninakumbuka miaka ya themanini,wakati nipo JKT,Kuna mwenzetu mmoja,alipitiwa na usingizi,aliweka silaha hovyo ,afande mmoja akaja kuchukua silaha na kuificha,ninakumbuka tulihenyeshwa wote kwa maelezo,kuwa tulikuwa wapi wote wakati silaha inapotea,mwenzetu ambaye alikabidhiwa silaha na sisi wengine wote ni wazembe.Tukio lile ninalinganisha na tukio la jana,ambalo Hamza alitwaa silaha za Askari wetu na kuleta taharuki huko karibu na ubalozi wa ufaransa.
Alishawaua kwa kuwashtukiza.

Mfano;

Ninyi ni Askari wawili mna silaha nami nina bastola ila bado hamjanilenga kwa bunduki zenu, hamjazikoki wala risasi kwenda chemba kisha mniue ilihali mimi nilishafanya hivyo vyote kabla yenu.

Unadhani nikishawapiga kwa ghafla mtabaki tena na nguvu au wazo la kunikatalia silaha ilihali nilishawajeruhi mkavuja damu, mkafa nami sijadhurika popote?

TZ inabidi tupimwe akili maana kuna sehemu tuna matatizo hatuko sawa.
 
1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana.

2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia waendesha magari madhara yangekuwa makubwa zaidi ikiwemo kukutana na risasi

3. Clip zinaonyesha wananchi wamezuia polisi kushambuliana, hii ilitokea wakati wa Westgate

4. Wananchi pamoja na kuwa kwenye hatari wametumia technology kuweka kumbukumbu. Wamekuwa waandishi wa habari, hii hali ikiendelea kwenye jamii uhalifu utakuwa unarekodiwa na ushahidi kupatikana

5. Wananchi wamemtambua muuaji kabla ya dola na hivyo kusaidia kupatikana kwa taarifa zake,naamini itasaidia sana uchunguzi huko mbele hasa kuhusu tabia za muhusika na Kama ana watu wengine wa kariba yake.

Ushauri
Tutumie utaratibu uliotumiwa na Kenya wa kuwa na kikosi kimoja Cha kupambana na Ugaidi kinachoundwa na vyombo vyote na chenye commanding system moja. Nakumbuka Bunge la Kenya lilipofanya tathimini ya athari za tukio la Westgate walibaini askari walipotea kwa sababu walirespond at a time lakini wakiwa na uniforms mbalimbali na wakiwa na viongozi tofauti, kila kikosi kikawa kinajifanyia kinavyoona na kufanya washambuliane ndani.

Kongole kwa jeshi la Polisi.
Namba moja sio kweli,kama polisi waliweza Kufika wakiwa kwenye gari Tena bullet profed,wakashindwa kumuua huyo jamaa akiwa kwenye kibanda,mita mbili tu kutoka walipo,hawakushuka kwenye gari,shabaha hawana,
Incompetent polisi force.yanajua Swaga za kuvalia minguo na mikwara mingi wakati wa kukamata wapinzani wasio na siraha yoyote
 
Wachukue simu zake,au line zake ,waende TCRA kuangalia alikuwa anawasiliana na nani hapo kabla.Hata na mkewe na watoto wake.chunguzeni uraia wake,mental status.uanachama wake na vyama vya siasa,email zake etc
 
1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana
Kama stori zilizozagaa ni kweli, basi sababu za wao kufika eneo la tukio ni KUUAWA kwa wenzao na KUFUTA ushahidi, nothing else.

Ni kweli kuwa walianza kushambuliana wenyewe kwa wenyewe?
 
Hao hawana akili, yani wanatufanya sisi hatuishi na hao Polisi mitaani au sawa na vile kila Mtanzania alishawahi kudhulumiwa na Polisi.

Watanzania tuna roho za kipumbavu sana.

Walifariki wale Askari wetu wa JW 14 pia walikuwa wanawatukana na kuwaponda kama vile wao na siasa zao uchwara ni malaika.

Juzi wamefariki TRA, pia ni mwanzo mwisho kuwatukana na kuwaponda daaah...!

Hii TZ kuzaliwa ni bahati mbaya sana si kwa chuki hizi aiseee.

haya mapumbavu huwa nayaambia.

unakumbuka kifo cha jpm,hakacheza mpaka mziki matako juu,sasa yanaipata fresh yao.
 
Back
Top Bottom