Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi nyuzi za Hamza zinatosha sasa...maana tumepata uchambuzi wa kila aina ....tusubirie tukio lijaloš
Sirro ni zero kabisa hawezi tofautisha kati ya jambazi na gaidi!Hivi nini Maana ya ugaidi au kila uhalifu ni ugaidi?
Kitengo cha Askari KIDOLE1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana.
2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia waendesha magari madhara yangekuwa makubwa zaidi ikiwemo kukutana na risasi.
3. Clip zinaonyesha wananchi wamezuia polisi kushambuliana, hii ilitokea wakati wa Westgate.
4. Wananchi pamoja na kuwa kwenye hatari wametumia technology kuweka kumbukumbu. Wamekuwa waandishi wa habari, hii hali ikiendelea kwenye jamii uhalifu utakuwa unarekodiwa na ushahidi kupatikana.
5. Wananchi wamemtambua muuaji kabla ya dola na hivyo kusaidia kupatikana kwa taarifa zake,naamini itasaidia sana uchunguzi huko mbele hasa kuhusu tabia za muhusika na Kama ana watu wengine wa kariba yake.
Ushauri
Tutumie utaratibu uliotumiwa na Kenya wa kuwa na kikosi kimoja Cha kupambana na Ugaidi kinachoundwa na vyombo vyote na chenye commanding system moja.
Nakumbuka Bunge la Kenya lilipofanya tathimini ya athari za tukio la Westgate walibaini askari walipotea kwa sababu walirespond at a time lakini wakiwa na uniforms mbalimbali na wakiwa na viongozi tofauti, kila kikosi kikawa kinajifanyia kinavyoona na kufanya washambuliane ndani.
Kongole kwa jeshi la Polisi.
Naona sifa ninyingi mno.1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana.

a very good point1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana.

Tutumie matukio ya aina hii kutathmini utenda kazi wapi.Hiyo Crisis Response Team ni Efficient kiasi gani?Wanao uadilifu, weledi/vifaa na utaalam wa kutosha?Je,huwa wanajitathmini kuona mafanikio yao(Evaluation)? Inaonekana wanaua zaidi badala ya kukamata wahalifu.
SawaHate versus Police ni kubwa sana kutokana na dhuluma zao na kubambikiza wananchi makosa, jokes aside unahitaji kuwa na ngozi ya mamba kuwaonea huruma Polisi
Jana kwenye hotuba ya Kikao Kazi na TANPOL Rais SSH ameongea mambo yanayuhusu dhuluma na unyanyasaji wa Polisi. Kuna aya kama 3 amerudia Rais kuhusu upelelezi usiokamilika na watu kukamatwa.
Hao sita jamaa hajawajeruhi, yeye target yake ilikuwa ni askari tu. Askari wale wote wamefyatua marisasi mengi kwa mtu mmoja na walichemka badala yake wakawadhuru watu, hadi walivyobahatisha kumpiga.Nilitegemea ungeshauri polisi wafanye kazi waache dhuluma.
Maana jamaa anaonekana ni mtu na shughuli zake na anaheshimika mpaka kuwa kwenye kamati kuu ya CCM ilala, mfanyabiasha mwenye migodi.
Mi naona kuwaua ha watatu na kujeruhi sita kawaonea huruma ila ilitakiwa kupiga kituo kizima.
Polisi wanabambikiza kesi, wanadhulumu, badala ya kusimama na raia wao kutwa kuwasaidia CCM kuzidi kutawala.
Polisi wasipobadilika yatakuja maafa makubwa zaidi ya haya ni suala la muda.
Mkuu yaani ushasema armless alafu unategemea waende na viroba vya bunduki wakawatandike risasi huku wakijificha kwenye kona?Piga chini IGP,RSO,DCI kwanza...hao wanabidi wawe chini ya ulinzi kuanzia sasa. Hakuna maana polisi inakua makini kwenya kuwakamata wanasiasa mfano wanao hitaji Katiba Mpya tena armless huku walishindwa kufanyakazi dhidi uhalifu kama huu
Ungekuwa wewe ungeweza kumpata kwa risasi moja?Hao sita jamaa hajawajeruhi, yeye target yake ilikuwa ni askari tu. Askari wale wote wamefyatua marisasi mengi kwa mtu mmoja na walichemka badala yake wakawadhuru watu, hadi walivyobahatisha kumpiga.
Wewe lazima utakuwa ndugu yake na james bond.Sirro ni zero kabisa hawezi tofautisha kati ya jambazi na gaidi!
Hisia zako za kisiasa zisikufanye uwe na akili fupi....Ni jambo la kheri sana hawa Polisi wanaoitumikia CCM badala ya wananchi kuendelea kuuawa.Mungu bariki sana yule gaidi.
View attachment 1908590
Hizi ni hisia za kisiasa?šPolisi kutumikia chama badala ya wananchi ni hisia za kisiasa?Unaelewa wananchi wanapata hasara gani na kubwa kiasi gani kwa Polisi kutumikia chama badala ya wananchi?Hisia zako za kisiasa zisikufanye uwe na akili fupi....
Kama nikiwa trained nashindwa nini? Au nini maana ya course wanazoenda kila mara?Ungekuwa wewe ungeweza kumpata kwa risasi moja?
Acha ujinga. 6. Muuaji hakuwa gaidi na alikuwa na bifu na polisi na ndiyo maana hakushambulia raia.1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana.