masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,385
- 19,309
sureInasemekanana sababu kuu zinazovunja ndoa ni
1.pesa
2.tendo la ndoa
3.in-laws(wakwe,wifi,mashemeji etc)
Kwamba hivi vitu vitatu vikiyumba ndoa chali. Ni kweli?
sureInasemekanana sababu kuu zinazovunja ndoa ni
1.pesa
2.tendo la ndoa
3.in-laws(wakwe,wifi,mashemeji etc)
Kwamba hivi vitu vitatu vikiyumba ndoa chali. Ni kweli?
Wala sipoWewe haumo kwa "wanaokufa"!
mambo ya kuathirika kisaikolojia nayo yanavunja mamboAisee!
Big up!!Kama unamaanisha lakini!!!Kwa nini unakazania kula mawe?!
Kuna ugali na dagaa, kuna kande! Au wewe ni wale ambao mke akitaka kucheza na wewe weekend unamwambia unataka nikae na wewe hapa tule mawe?!
Kila kitu kina nafasi yake bana! Leo uchumi umeyumba kuna unga tunywe uji! Tufurahi
4. TamaaInasemekanana sababu kuu zinazovunja ndoa ni
1.pesa
2.tendo la ndoa
3.in-laws(wakwe,wifi,mashemeji etc)
Kwamba hivi vitu vitatu vikiyumba ndoa chali. Ni kweli?
Namba 2 inavumilika?
Umeongea point kubwa sana!!!Ila ni vijana wachache wanaweza hayo siku hzi wengi hawana uvumilivu kama zamaniNafikiri wawili wanapoamua kufunga pingu za maisha kila mmoja anamjua vyema mwenzake!
Sitaki kuamini eti uchumi umeyumba ada imechelewa muachane! Hakuna wakati ambao mwanaume anahitaji faraja kama kipindi cha mkwamo! Mpe mawazo mbadala na wakati huo jukumu la kulea ni la mume na mke!
Baba amekwama mama ana kazi, au ana biashara kuna tatizo gani akaisogeza familia wakati baba anapambana?; upendo unabeba kila kitu hapo!
Namaanisha sana tuu!Big up!!Kama unamaanisha lakini!!!
Tatizo sio uvumilivu, watu wanaoana bila kuujua upande wa pili wa mwenzake!Umeongea point kubwa sana!!!Ila ni vijana wachache wanaweza hayo siku hzi wengi hawana uvumilivu kama zamani
Namaanisha sana tuu!
Asante kwa hongera, na hongera kwa kuachiwa!
Niambie basi jamani, niahirishe kuja pm yako!Ha ha ha
EwaaaaaIla mie nakuamini sana tu!
Sina shaka na uwezo wako! !
Hahaha hiyo hongera ya kuachiwa !!!???Fafanua
Naelewa sana tuu!Huwezi kunielewa
Tatizo sio uvumilivu, watu wanaoana bila kuujua upande wa pili wa mwenzake!
Je, kipindi cha uchumba ulishawahi ishiwa ukaona reaction yake?!