Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Umuache huku unampenda?!Unaweza kumpenda mtu ila akakufanya umuache kwa kushindwa kumvumilia kwa Jambo moja au lingine
Binadamu hatujakamilika, kila mtu ana mapungufu yake! Kinachofanya mke/mume asiongee na mwenzie na kurekebisha mapungufu ni nini eti!