LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,511
Kudadadadadaaaa dekiiiKila mtuu na mentality yake. Kamwe siwe kumpa kipaumbele mwanamke apart from mama. Wengine anytime anakuwa replaced but mama siwezi mreplace.
Nafasi yake mke ni kuhakikisha tunagegedana kwa raha zetu. Becoz trust me ukitaka kujua kuwa hamna upendo kwenye ndoa na ni masuala ya wanawake kuangalia wapi kuna potential...ebu kuwa broke alafu tuone kama upata mwanamke...tena ndio kwanza wanakukwepa kama ukoma. So plain and simple umenikubali becoz mama yangu kaniandaa na mie nimekupenda becoz wazazi wako wamekuanda but true love itaenda kwa mama wewe mke upo hapa tumalozie tuu shida zetu za kimwili.
Mke imagine uyu ndo mumeo
Ndoa hazitaisha uchungu
Imagine na mi niwe nakuona mume km 2nd option mtu wa kudinyana tu mhhh...
Unalikoroga na utalinywaa jmn mhh