LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,511
Nadhani kila mtu ana shida yakeKama huna pesa hamu ya tendo la ndoa inatoka wapi? Imagine unawaza utakula nini au watoto wamerudishwa nyumbani kwasababu ya ada....hio hamu ya tendo la ndoa itatoka wapi?
Na wengine wana shida zote
Hivyo tujitathmini
Unaweza kuwa na pesa ya kukidhi mahitaji yenu ila tendo la ndoa ni tabu mf hamna mapenzi,kukosa nguvu za kiume, mke hana hamu nk
Kila mtu ana strong na weak point ktk point 3 ulizotaja
Mind you GOD GIVES NO ONE EVERYTHING