moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 5,024
Oa kaka ili utupe experienceInasemekanana sababu kuu zinazovunja ndoa ni
1.pesa
2.tendo la ndoa
3.in-laws(wakwe,wifi,mashemeji etc)
Kwamba hivi vitu vitatu vikiyumba ndoa chali. Ni kweli?
Oa kaka ili utupe experienceInasemekanana sababu kuu zinazovunja ndoa ni
1.pesa
2.tendo la ndoa
3.in-laws(wakwe,wifi,mashemeji etc)
Kwamba hivi vitu vitatu vikiyumba ndoa chali. Ni kweli?
Chochote kikianza mkifikia ndoa kuna maisha. Kula,kulala etc kunahitaji pesa,ikikosekana ni changamotoLakini kabla ya hayo yote kuwa ni nini kilianza...??hapo sasa inategemea;wengine ulianza upendo ndio vinogesho hivyo vikazidi kuuchochea huo upendo ukakua na kukua zaidi..wengine vilianza vinogesho(pesa,ngono)ndio upendo ukanawiri...
4.hasa kwa mwanaume,mtu anaoa anajua hapa yes, sinunui tena makahaba sinza nakuwa namgegeda mke wangu asubuhi,mchana na jioni tena bila condom,ila akioa tu mara mwanamke anasema amechoka,mara hayupo kwenye mood,mara hajisikii kufanya mapenzi,mara yupo busy na watoto,ndoa nyingi zinayumba baada ya mwanamke kuzaa,waliooa mashahidi,kwa mwendo uo lazima uchepuke tena ukioa ndo unachepuka kwa speed 180 kumzidi hata bachelor
Aisee mimi ningekata rufaa kabisaa😅inakuwaje nikose tendo la halali yangu...au la ndoa ivunjike tuu siwezi kutawa uraiani na ndoani pia...Umeona eh! Utamu wote huo halafu siku zinakatika hakuna kugegeda kwa visingizio mbuzi? Acha ndoa zivunjike na walio nje wahofie kuingia huko.
Nilikuwa najaribu kumweleza aliyesema no. 2 inavumilika!Ndio thread inavyosema.
Sawa,..inategemea kukosekana kwa pesa huko ni kwa namna gani...for instance;pesa wakati mnaoana ilikuwepo baadae kidogo uchumi ukayumba(sababu zipo nyingi eg:magonjwa)je hiyo ni sababu nzito kweli ya kufanya ndoa ivunjike??Chochote kikianza mkifikia ndoa kuna maisha. Kula,kulala etc kunahitaji pesa,ikikosekana ni changamoto
Aisee mimi ningekata rufaa kabisaa😅inakuwaje nikose tendo la halali yangu...au la ndoa ivunjike tuu siwezi kutawa uraiani na ndoani pia...
Ndio maana likaitwa tendo la NDOA...LOLHa ha ha hio namba 2 si mchezo
Sometimes unatafuta pesa kwa bidii zote lakini hupati, ndio migogoro inaanza. Mara unanyimwa tendo,unanyanyaswa na hadi wakwe muda mfupi tu ndoa chaliUpendo, upendo na upendo!
Upendo ukiwepo nguvu ya kutafuta pesa itakuwepo na mibaraka tele!
Upendo ukiwepo tendo la litakuwa burudani kwa mke na mume!
Upendo ukiwepo mtashikamana na kushinda changamoto ya wakwe, penye upendo pana uvumilivu!
Mfyuuuuu....huyo ana kifafa cha dyudyu itakuwa,.unasusiaje nyama noro kwa mfano...???😂Eti unakuta mume anasusa kumgegeda mkewe eti kachukia! 😳😳😳😳
Sawa,..inategemea kukosekana kwa pesa huko ni kwa namna gani...for instance;pesa wakati mnaoana ilikuwepo baadae kidogo uchumi ukayumba(sababu zipo nyingi eg:magonjwa)je hiyo ni sababu nzito kweli ya kufanya ndoa ivunjike??
Kweli kabisa. Ila ndugu, marafiki, majirani ukiwa endekeza lazima wakuvunjie ndoa.Hivi viwili vikiwa 100% upendo lazima uwe 100%
Chochote kikianza mkifikia ndoa kuna maisha. Kula,kulala etc kunahitaji pesa,ikikosekana ni changamoto
I think wanaume na wanawake tupo tofauti wanaume wanaweza kufanya sex na yeyote bila emotional attachment na wanawake wanasex na mtu ambae wako involved emotionally,ukichunguza hii basic difference utajua how inatu guide tunapofanya mahusiano…(mate preferences)...ukiingia na mtazamo ndoa ni sex(wanaume),once ukikosa sex ndoa inaenda mrama….na sisi kama wanawake..nature haijatusevu hatuwezi kuprovide ''sex' all the time..thus a problem.
Eti unakuta mume anasusa kumgegeda mkewe eti kachukia! 😳😳😳😳
Kulipa ada,umeme,maji n.k huo ni wajibu na haki...swali langu ni je, uwezo wa kufanya hivyo ukikata ndoa ivunjike????Yaitwa "bankrolling" yaani ukiulizwa ada ya shule unatoa, matumizi ya nyumbani unatoa, na kumbuka mama nae anapaswa kupewa posho yake hata kama wafanya kazi ati.
Hivyo iwe ni biashara, kazi ya kuajiriwa na shughuli zako zingine zinazoingiza pesa kihalali lakini mume unaweza kukabili any query kutoka ndani ya familia, kwa wazazi au ndugu wa pande zote.