Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,944
- 6,794
kukesha bar1. Ukipata mpenzi mnaependana sana.
2. Ukipata mtoto wako wa kwanza.
3. Ukifunga ndoa.
4. Ukinunua gari lako la kwanza.
5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa)
6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga
7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya kuhisi una ukimwi
8. Kutunukiwa mara ya kwanza
Kama ipo nyingine ongezea....
Tommy Egan (Joseph Sikora)Mkuu nikumbushe kidogo jina la huyo kwenye Avatar rafiki yake Ghost
Vyote navipata hapohapo kwenye namba moja, nyie msinione nimechanganyikiwa hivihivi 🤣🤣🤣Na kupata ubuyu wamoto?😅
nilihisi tu ulivosemaga 'vyanzo vya kuaminika'🤣Vyote navipata hapohapo kwenye namba moja, nyie msinione nimechanganyikiwa hivihivi 🤣🤣🤣
Nimecheka mpaka nimegalagala 🤣🤣🤣nilihisi tu ulivosemaga 'vyanzo vya kuaminika'🤣
Halafu iwe ni hali permenent sasa fulu kuishi vile unatakaPale hela inapokuwa inatosheleza mahitaji na kubaki.
Namba 6 ndio hasa1. Ukipata mpenzi mnaependana sana.
2. Ukipata mtoto wako wa kwanza.
3. Ukifunga ndoa.
4. Ukinunua gari lako la kwanza.
5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa)
6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga
7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya kuhisi una ukimwi
8. Kutunukiwa mara ya kwanza
Kama ipo nyingine ongezea....
Mkuu endelea kusinziaLabda ukifunga ndoa na mtu hampendani.
Shukrani mkuu, alicheza nafasi ya mtu mwenye mapenzi ya dhati yani.....unlike GhostTommy Egan (Joseph Sikora)
HahahhahaKuna hii"umeme kurudi"
Kwani wewe guns mapenzi ya dhati mkuu?Shukrani mkuu, alicheza nafasi ya mtu mwenye mapenzi ya dhati yani.....unlike Ghost
Ile mechi ilijaa dhuluma, barca tulionewa sana.siku chelsea anamtoa barca pale nyuuu kempu na siku tunabeba ndoo ya uefa
Jipe mda mkuuLabda ukifunga ndoa na mtu hampendani.
Yap hayo kwa sababu kuna matatu apo ni jukumu langu kukufanya uya experienceHiyo orodha nishaexperience mambo mawili tu.