Mambo ambayo biblia, Yesu, quran, Allah na Mohamed walidaganya wafuasi wao

Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
  • Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
  • Quran ipo moja tuu 😂😂😂😂(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
  • Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani 😂😂😂😂 wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Orodha itaendelea, ongezea na zako
Haya ww kuna mbingu ngap?
 
Yesu aliwaambia watu wa enzi zake kwamba atarudi kabla kizazi kile hakijakufa. Yani itakuwa mwisho wa dunia.

Watu wakaona hakuna haja ya kufanya kazi, kulima, kujenga, dunia inaisha katika miaka michache ijayo.

Mpaka leo zaidi ya miaka 2000 bado hajarudi.

Yesu alikuwa muongo kweli.

Wewe ulisoma biblia na ulikuwa muimini zamani ..na umeiona certain faults...labda nikuulize hili ..why kufufuka na kupaa Kwa Yesu kumeshuhudiwa au kusimuliwa na wafuasi wake only...hakuna sehemu inaonesha hata wale waliomsulubu walishuhudia kufufuka na kupaa....I mean hii story ni wale wanafunzi wake Tu ndo walisimulia ..as if mtu kupaa hewani ilikuwa Siri ..hivi...Pilato na non believers wengine hakuna sehemu inaonesha walishuhudia huo muujiza...very strangely
 
Haya ww kuna mbingu ngap?
Kuna atmosphere hamna kitu kinaitwa heaven na kuna outer space. Mtume alisema mbingu ya kwanza kuna jua, nyota na mwezi umesoma Quran ukaielewa au umeamua kukariri matamshi ya kiarabu
 
Wewe ulisoma biblia na ulikuwa muimini zamani ..na umeiona certain faults...labda nikuulize hili ..why kufufuka na kupaa Kwa Yesu kumeshuhudiwa au kusimuliwa na wafuasi wake only...hakuna sehemu inaonesha hata wale waliomsulubu walishuhudia kufufuka na kupaa....I mean hii story ni wale wanafunzi wake Tu ndo walisimulia ..as if mtu kupaa hewani ilikuwa Siri ..hivi...Pilato na non believers wengine hakuna sehemu inaonesha walishuhudia huo muujiza...very strangely
We unaamini kabisa mtu anakufa na kukufuka huyo atakuwa amezimia sio marehemu
 
Wewe ulisoma biblia na ulikuwa muimini zamani ..na umeiona certain faults...labda nikuulize hili ..why kufufuka na kupaa Kwa Yesu kumeshuhudiwa au kusimuliwa na wafuasi wake only...hakuna sehemu inaonesha hata wale waliomsulubu walishuhudia kufufuka na kupaa....I mean hii story ni wale wanafunzi wake Tu ndo walisimulia ..as if mtu kupaa hewani ilikuwa Siri ..hivi...Pilato na non believers wengine hakuna sehemu inaonesha walishuhudia huo muujiza...very strangely
Kwa sababu hizo stories ziliungwa ungwa tu na watu, nyingine karibu miaka mia ya baada ya Yesu kuishi.

Yani ni kama wewe leo uanze kuandika habari za Kinjekitile Ngwale alivyozuia risasi za Wajerumani zikageuka kuwa maji katika vita vya Maji Maji, kama ulikuwepo, wakati alivyoishi Kinjekitile hata hukuwa umezaliwa.

The Gospel of Mark probably dates from c. AD 66–70, Matthew and Luke around AD 85–90, and John AD 90–110. Despite the traditional ascriptions, all four are anonymous and most scholars agree that none were written by eyewitnesses.

Tueleze kuwa mtume alienda mbingu ya 7 na hakuweza ona kuwa dunia ni duara... Pia amesema kuwa jua na mwezi ipo mbingu ya kwanza
Weka ushahidi wa Qur'an siyo maneno yako.

Wapiga porojo mpo wengi hamjaanza leo, mpo miaka zaidi ya elfu moja sasa.
 
Hii tafsiri duniani unayo wewe... Tuambie hizo mbingu saba zipo wapi maana mtume alizielezea vizuri tuu na kusema jua na mwezi na nyota zipo mbingu ya kwanza
Weka ushahidi wa Qur'an siyo porojo zako na za walio kudanganya.

Kama hujuwi Kiarabu tafsiri za Qur'an zinazokubalika zipo nyingi mtandaoni, nikuwekee link?
 
Yesu aliwaambia watu wa enzi zake kwamba atarudi kabla kizazi kile hakijakufa. Yani itakuwa mwisho wa dunia.

Watu wakaona hakuna haja ya kufanya kazi, kulima, kujenga, dunia inaisha katika miaka michache ijayo.

Mpaka leo zaidi ya miaka 2000 bado hajarudi.

Yesu alikuwa muongo kweli.
We jamaa wewe
 
Mkuu James Kugel umemjulia wapi wewe? Umekisoma "How To Read The Bible: A Guide To Scripture, Then and Now" ?

Profesa kaandika kitabu cha kisomi sana, sema waumini wanasoma?
Ya,Nimekisoma kwa umakini Mkubwa, Kitabu kilinichukua zaiidi ya Mwezi,Kurasa za kitabu zaidi ya 800,Ni shughuli nzito, kitabu kilinijuza mengi Ya Biblia/Agano la kale.

Katika harakati za kutafuta na kufahamu machache katika bahari ya Maarifa,au katika kutafuta "Kweli"...! Kama asemavyo Yuvan Noah Harari kwamba Kweli/TRUTH...

"If you want to go deeply into any subject,you alot of time and in particular you need the privilege of wasting time, you need to experiment with unproductive path to explore dead Ends ,to make space of doubts and boredom,If you cannot Afford waste of time you will never find Truth."

&

"Also If you really Want Truth you need to escape the black holes of power and allow yourself to waste alot of time wandering here and there on the periphery, Revolution knowledge rarely makes it to the center, because the center is built on existing knowledge, That's why you need to waste so much on the periphery, They may contain some brilliant revolution insights,but they are mostly fully of uninformed guesses, debunked models, ridiculous conspiracy theories."

Baada ya kuwapitia Jesus Seminars,Friedman Elliot Richard, William G dever(Did God have a wife..??) Na Israel Frinkelstien & Neil Asher (The bible unearthed),huku na huku nikakutana na post Yako ya James l. Kugel.

James l kugel -Profesa Havard University,Nilimtambua kupitia post Yako(Shukran kwako) ukimuulezea na uliweka cover ya kitabu -How to read the bible Miaka zaidi ya Saba(7) Sasa imepita.

Hivyo nilimupitia na kutazama kazi zake nyingi na interviews.

Waumini ngumu kusoma,mpaka wajivishe ujasili wa kutafuta ukweli wa Mambo..!

Forums kama Jf (Jamii forums) walau Waumini wanapata Moja mbili Tatu kuhusu vitabu vyao vilivyoandikwa katika Ignorant, Superstitious na Cruel Age.
 
Msikilize huyu jamaa anavyoelezea

View: https://youtu.be/Hu7-vb7WNlY?si=GNUZzXvvzEkroOYw
 
Back
Top Bottom