Mambo ambayo biblia, Yesu, quran, Allah na Mohamed walidaganya wafuasi wao

Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
  • Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
  • Quran ipo moja tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
  • Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Orodha itaendelea, ongezea na zako
Kuna jamaa aliupasua mwezi vipande vipande ukadondoka nyuma ya mlima huko
 
Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
  • Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
  • Quran ipo moja tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
  • Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Orodha itaendelea, ongezea na zako
Kilanunachoandika kuhusu Qur'an au mafundisho ya Kiislam weka na ushahidi wa ulipoyatowa kwenye Qur'an ili tukuelimishe, bila hivyo itabaki kuwa ni uongo wako tu.
 
Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
  • Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
  • Quran ipo moja tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
  • Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Orodha itaendelea, ongezea na zako
Kwa hiyo bichwa lako la habari lilikuwa ni uongo tu. Utumbo wako wa habari umeketa mambo ya Kiislam usiyoyajuwa.

Wewe ni muongo na mbabaishaji na unajaribu kucheza na maneno.

kama nia yako ilikuwa Kuuongelea Uislam ulikuwa hauna sababu ya kujidanganya.

Uislam ndiyo dini pekee ambayo ipo wazi kwa challenges wakati wowote.

Qur'an yenyewe imeweka opewn challenges za kutosha tu.
 
Katika vitabu vya hadithi za kidini, quran ni kitabu chenye hadithi za kitoto na zisizo na kichwa wala miguu kuliko vitabu vingine vyote.

Mohamed kugundua kwamba kitabu chake kimejaa childish stories, akatishia watu mtu yoyote atakaehoji hizo hadithi zake za kitaahira auwawe.

Dini ni stori za kutunga ila kwenye quran zilitumgwa na watu wasio na akili yoyote.
Tuwekee ushahidi, wacha uongo.

Utafananisha Qur'an na porojo za mtu kupigana mieleka na Mungu akamminya nini sijuwi katikati ya mapaja?
 
Nyinyi wagalatia mnadanywa sana Hadi mmekuwa kama matahira wa kihindi

Quran ipi inayolazimisha watu waiamini?

Mbona Quran inasema hakuna kulazimishana katika dini

Yani wewe ukitaka iamini Quran kama hutaki endelea na maisha yako ya Kigalitia na Muislam akikushikia panga Ili uiamini Quran automatically anakuwa sio Muislam maana anakuwa anapingana na Quran

Quran 2:256 -
Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
Tueleze kuwa mtume alienda mbingu ya 7 na hakuweza ona kuwa dunia ni duara... Pia amesema kuwa jua na mwezi ipo mbingu ya kwanza
 
Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
  • Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
  • Quran ipo moja tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
  • Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Orodha itaendelea, ongezea na zako
Hakuswali kwenye temple la Suleiman bali aliswali kwenye masjid aqsa
 
Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
  • Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
  • Quran ipo moja tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
  • Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Orodha itaendelea, ongezea na zako
Qur an nyingine ziko wap
 
Hiyo ardhi sqba na mbingu saba kwenye Qur'an mapoyoyo wengi hamuelewi maana yake.

Hamuelewi ni nini maana ya lexicon au "locution" kwa Kiarabu "lisan" yaani Kiswahili chake neno kwa neno ni "ulimi".
Watafsiri Wengi wametafsiri neno kwa neno lakini siyo maana kusudiwa.

Ni sawa na kijana wa Dar anaposema "ntakukata mtama'. Huo mtama anaokujata uko wapi?

Umeshawah7 kukisikia kisa cha tajiri na masikini na nyama ya ulimi?

Kama umekisikia basi epewa kuwa maneno yaliyotafsiriwa neno kwa neno kutafsiri "ardhi" na "Mbingu" hayakuwa na maana hiyo kabisa.

Hy8 ndiy8 muujiza mmojawqpo wa Qur'an kilugha, ilipoongea habari za Ibrahim ikatumia ya "lexicon" na "locution" ya Ibrahim, halikadhalika kwa wengine.
Hii tafsiri duniani unayo wewe... Tuambie hizo mbingu saba zipo wapi maana mtume alizielezea vizuri tuu na kusema jua na mwezi na nyota zipo mbingu ya kwanza
 
Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya.
  • Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad)
  • Quran ipo moja tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚(Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo nyingi tofauti)
  • Mtume kusafiri mpaka jerusalemi kwa usiku mmoja na kusali katika temple ya sulemani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati kipindi hiko hiyo temple haikuwepo
Orodha itaendelea, ongezea na zako
Tena unatakiwa kujua Mtume Muhammad (s.a.w) ndio mtu wa kwanza kufanya Time travel
 
Back
Top Bottom