MSHERWAMPAMBA
JF-Expert Member
- May 22, 2014
- 341
- 120
wenyezi mungu ni mwingi wa rehma na ataamuafu mama yake na Kabwe,aamin!
Mkuu, hivi unajua chanzo cha ugonjwa wake ni nini?Mungu amsaidie jamani mama yetu mpenzi amponye.
Hakika Mkuu. Bado tunamhitaji sana huyu mamaDah... Tunamuombea mungu ampe ahueni mama Zitto.
Mkuu, mgonjwa akiwa kwenye hali hiyo unapaswa kuwa makini sana unapofanya maamuzi....wampeleke kwa appollo au ujerumani,dogo aache ubahili ...
Ikitokea huyu mama anafariki, laana ya Mungu itawaangukia viongozi wa chama chake
Wana jamvi taarifa zimetoka katika magazeti ya leo
Acheni ujinga, huyu mama alikuwa Appolo India kwa kipindi chote cha Bunge maalum la katiba akipatiwa matibabu, anasumbuliwa na cervical cancer...Kansa ya kizazi....ni kumwomba Mungu ampe ahueni sio kuandika ujinga ujinga .......Duh,wameamua kuanzia na mama kwanza dah?!!.
Kumbe dr ni hatari sana.