Mama Zitto alazwa ICU-Muhimbili

Tujaribu kua na utu hii sio siasa tunazungumzia UHAI wa binadam
Ni nani ajui uchungu wa MAMA ni nani hatambui maumivu ya kuugua au kuuguza? Mpaka mnaingiza ufadhina wa kutamka kifo..? Tuwe na utu jamani unaweza kusoma upite tu bila kuingiza masikhara kwenye AFYA ya binadam mwenzako,,...MUNGU AKUPONYE MAMA
 
Mama yake Zitto, bi Shida Salum ambaye ni kada wa CHADEMA, amelazwa chumba cha uangalizi maalum(ICU) kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya shingo ya uzazi.

Source: Mwananchi leo

mbona mnachanganya sana; mtanzania inasema AMI msasani; je nikitaka kumjulia hali niende upanga au msasani
 
Hivi alikuwa bado kada tu wa CDM? Ina maana hajahamia ACT chama cha masalia na wasaliti?
 
Huyu dogo kwa kupenda sifa na umaarufu anaweza hata kumtoa ndagu mama yake! Ana tamaa sana dogo!

una akili ndogo sana zaidi punda, acha wivu wa kipumbavu wewe, utakufa maskini kama utaendelea kutanguliza ushirikina katika kila unachofikiria. get well soon mama zzk
 
Povu la nini? Alishawahi kutwambia kuwa ana uwezo wa kuua hadi panya,hiyo inaonesha anavyokumbatia nguvu za giza.
 
una akili ndogo sana zaidi punda, acha wivu wa kipumbavu wewe, utakufa maskini kama utaendelea kutanguliza ushirikina katika kila unachofikiria. get well soon mama zzk

wivu upi? Mi najiamini,nafanya shughuri halali inayonilisha,sina tamaa kama nyie buk 7 mnaoendekeza njaa!
 
mbona mnachanganya sana; mtanzania inasema AMI msasani; je nikitaka kumjulia hali niende upanga au msasani

huu ndio ushabiki maandazi mtu hakujui inataka uende kujipeleka.

1. huyu mama hana shida ya matibabu na mwanaye ni billionea na chama chake kipo pia.

usamalia ni afadhali ungeuonesha kwenye hospital amana, temeke, mwananyamala na muhimbili ambako kuna watanzania tangu wamelazwa miezi kadhaa hawajahi kupata visitors hata wa kuwapa juice.
 
Hao watanzania wewe umeshawahi kuwatembelea?
 
Back
Top Bottom