Mama Zitto alazwa ICU-Muhimbili

Mama Zitto alazwa ICU-Muhimbili

Nampa pole sana Zito katika mazingira haya magumu; kumwuguza mzazi wako katika hali ya sintojua ni presha kubwa sana ambayo nadhani kwa sasa itakuwa ni jambo jema sana kwa wapinzani wake kisiasa kumwacha kwanza ashughulike na mama yake. Siyo vizuri jambo la afya ya mzazi kuhusishwa na siasa za mwanae.
 
Mkuu, hivi unajua chanzo cha ugonjwa wake ni nini?

Anasumbuliwa Cervical cancer, alishapelekwa India kwa matibabu lakini naona bado hajapa afueni. Pole sana Mhe. Zitto & family.
 
Hata maadui zetu tu sifutiiii ama kuwaua au kuwaombea wafe. Ni misingi tu ya utu.
Mwenye utu ana namna yake ya kutafakari na kuongea.
Hafurahii matatizo ya mtu wa jamii yake.

Kama tunavyolaani ya mwaandishi Mwangosi, Dr Ulimboka na Absalom Kibanda hili nalo ni la kulaaniwa.

Hivi mkuu ulihariri wazo lako kabla ya kuja kulibandika hapa? huyo mama anasumbuliwa na kansa inayosemekana imesambaa sehemu kubwa ya mwili wake....sasa unapolaani nani hataugua ?......
Tukubali tu kuwa hatujafa hatujaumbika na hakika kila nafsi itaonja mauti.....Mungu ampe nguvu
 
Anasumbuliwa Cervical cancer, alishapelekwa India kwa matibabu lakini naona bado hajapa afueni. Pole sana Mhe. Zitto & family.

Mhhh cervical cancer ni ile kansa ya mlango wa uzazi?..
 
Uongozi wa chadema ni lazima kwenda kumsabahi mjumbe huyu wa kamati kuu,ni iron lady kwani pamoja na upuuzi wa mwanae bado amekuwa mtulivu na mnyenyekevu kwa chama.

By the way JK hajasikia?
 
Acheni ujinga, huyu mama alikuwa Appolo India kwa kipindi chote cha Bunge maalum la katiba akipatiwa matibabu, anasumbuliwa na cervical cancer...Kansa ya kizazi....ni kumwomba Mungu ampe ahueni sio kuandika ujinga ujinga .......

Hachana na wajinga hao mkuu...hawanaga mawazo ya maana zaidi ya kujitia ujinga kichwani muda wote..Get well soon Mama Z.Z.K
 
sasa mbona sinario haionyeshi kupigwa huyu mama wakati kichwq cha habari kinasema anapumulia mashine!!?????

ACHENI UHUNI WENU HAMTAIWEZA CHADEMA KWA HUJUMA ZABCCM NA ZA KUTAFUTA HURUMA.

SHAME ON U ALL POSTERS OF NONSENSE

Mkuu nakuona oxygen yao iko kwenye siasa
 
Mkuu, mgonjwa akiwa kwenye hali hiyo unapaswa kuwa makini sana unapofanya maamuzi.

Ni hasara kwa taifa kuwa na wanasiasa wa aina yako!Ni afadhali ungekuwa ni wewe unayeumwa huu ugonjwa na siyo huyu mama maana huna faida!
 
makubwa kumbe ana cervical cancer,,,
basi itakuwa blown out akisumbuliwa na psychosis.
 
Back
Top Bottom