Mama Zitto alazwa ICU-Muhimbili

Mimi nadhani tunahitaji kuwa wastaarabu......si kila wakati....kila mahali......tunapiga siasa tu.......hii habari inahusu habari za ugonjwa wa binadamu mwenzetu........mama yetu.......Mtanzania mwenzetu.......kwanini tunaanza kujadili siasa zake badala ya kumtakia heri?.......mtafanya hata sisi wapenda mageuzi tuchukie siasa hizi uchwara......tuwe na staha na heshima....siasa ni siasa......ubinadamu ni ubinadamu....

Pole sana Mama Zitto...
Hadi sasa hakuna aliyehusisha ugonjwa wake na siasa ila wewe ndiye una sensitize watu waanze kujadili, shame on you.
 
Mungu amguse na amponye lakn pia kama Mwenyez Mungu akimpenda zaidi amwandalie makazi ya aman kwani ni kizaa CHEMA
 
Polesana Zitto kwa mtihani huu wa kuuguliwa na mama yetu mpendwa,Polesana mama,Mungu atakujalia afya njema soon!
 
Pole sana mama zitto!! mungu akupunguzie maumivu!!...tuna kuombea utapona!
 
Pole sana kwa kuuguliwa Mh Zitto...hii ni moja ya kansa zinazoongoza kwa kuua bibi, mama, shangazi, dada, na binti zetu. Natamani iwe chachu kwako kupigania chanjo ya HPV (japo ishazinduliwa kitaifa) na vile vile pap smear kwa kila mwanamke aliyefikia umri wa kuzaa Tanzania kila baada ya miezi 6!
 
Mama yake Zitto, bi Shida Salum ambaye ni kada wa CHADEMA, amelazwa chumba cha uangalizi maalum(ICU) kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya shingo ya uzazi.

Source: Mwananchi leo

Mwenyenzi MUNGU ampe kupona mapema Mamaa yangu.
 
Pole sana kwa kuuguliwa Mh Zitto...hii ni moja ya kansa zinazoongoza kwa kuua bibi, mama, shangazi, dada, na binti zetu. Natamani iwe chachu kwako kupigania chanjo ya HPV (japo ishazinduliwa kitaifa) na vile vile pap smear kwa kila mwanamke aliyefikia umri wa kuzaa Tanzania kila baada ya miezi 6!

Mungu awape nguvu familia during this time. Pap smear muhimu sana ila bado awareness ndogo
 
Inshallah mwenyezi mungu ampe uzima na atuepushie maradhi tulio wazima...........
 
Back
Top Bottom