Mama Zitto alazwa ICU-Muhimbili

Mama Zitto alazwa ICU-Muhimbili

Kuugua si kifo ni mojawapo ya changamoto zilizopagwa mungu kwa kila binadam. Kwa jina la mwenyezi mungu atapona.
 
Get well soon mama yetu,mama wa mwanamageuzi mwenzetu Zitto.Tupo pamoja kwa sala tukikuombea upate ahueni.
 
Ilitangazwa hivi karibuni kuwa "...wanaume wanachangia kusababisha gonjwa hili..." lakini hakuna maelezo zaidi yaliyotolewa! Je, Mzee Zuberi Kabwe au mume wake yupo? Pole bi mkubwa kwa masaibu hayo!
 
Comment yangu mmeifuta eeh Mods?Where is my comment? Damn it!!!!
 
Huruma sana! Ziongezwe kampeni thabiti kuwanusuru mama zetu na ugonjwa huu na ule wa kansa ya matiti!
Kwa nchi zinazoendelea kwa miaka ya karibuni hili limekuwa janga kubwa.
 
Get well soon Mama uliyetuzalia Jembe.....
 
he! na ww unampa pole huyu mama wkt nyie ndo wachawi wenyewe,unafiki umekujaa
phuuuuu

Ameanza lini uchawi kijana wa watu? Ninachokijua mimi ni sumu, hiyo ya kuloga sijawahi isikia kwa kweli.
 
Yaani hapa ni kudra za Mwenyeenzi Mungu!ulaya huwa wanawaambia kabisa umebakiza siku ngapi?cervical na breast cancer yameua wanawake wengi sana,Mungu amrudishie afya yake Mama yetumpendwa Mama Zitto

Wampeleke kwa TB JOSHUA atapona
 
Ameanza lini uchawi kijana wa watu? Ninachokijua mimi ni sumu, hiyo ya kuloga sijawahi isikia kwa kweli.

hao hawana ubaya wasio ufanya mpk mini kabang wanatumia si unamjua yule mp wa arusha
 
Back
Top Bottom