Mama Zitto alazwa ICU-Muhimbili

Mama Zitto alazwa ICU-Muhimbili

Hongera tofautizetu za siasa zisitufanye kuwekeana uhasama.

Mkuu kwa hili Hongera na wewe pia.MUNGU MPONYAJI AHUSIKE NA KUMPONYA Mama Zitto.pale ambapo wanadamu wameshindwa MUNGU anaweza.Namtakia Uponyaji.Jipeni moyo wanafamilia ktk wakati huu mgumu na aminini ya kuwa MUNGU NI MWEMA.
 
Naachia nguvu ya uponyaji juu yako mama zitto kwa jina la Yesu Kristo utapona na uinuke hapo kitandan sasa.
 
Pole sana Shida Salum, Mungu akutie nguvu wewe na familia yako!
 
Huyu mama alilazwa India wakashindwa ndo ameletwa hapa!!
Yaani hapa ni kudra za Mwenyeenzi Mungu!ulaya huwa wanawaambia kabisa umebakiza siku ngapi?cervical na breast cancer yameua wanawake wengi sana,Mungu amrudishie afya yake Mama yetumpendwa Mama Zitto
 
Mama yake Zitto, bi Shida Salum ambaye ni kada wa CHADEMA, amelazwa chumba cha uangalizi maalum(ICU) kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani ya shingo ya uzazi.

Source: Mwananchi leo

Tunampa pole sana Inshaalah M/Mungu atamjalia atapona lakini hujatuambia amelazwa hospitali gani?


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Mh Mbowe ataenda kumjulia hali kweli au x- padre
 
Pole our lovely mom,Mungu akuguse ili upone,pole Zitto Mungu ni mwema saana bila shaka atamponya Mama yetu'
 
POLE SANA MAMA YETU,MUNGU AKUPE NAFUU NA UPONE.
Pole pia ndg Zitto kwa kuuguza.
 
Hujui nin mana ya siasa ndo mana, kaa kimya
Mimi nadhani tunahitaji kuwa wastaarabu......si kila wakati....kila mahali......tunapiga siasa tu.......hii habari inahusu habari za ugonjwa wa binadamu mwenzetu........mama yetu.......Mtanzania mwenzetu.......kwanini tunaanza kujadili siasa zake badala ya kumtakia heri?.......mtafanya hata sisi wapenda mageuzi tuchukie siasa hizi uchwara......tuwe na staha na heshima....siasa ni siasa......ubinadamu ni ubinadamu....

Pole sana Mama Zitto...
 
Back
Top Bottom