Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
Umeniombea?Fanya mapenzi ili uthibitishe mkuu,kutuuliza siye na tumetoka ibada ya jioni ni changamoto kidogo
Umeniombea?Fanya mapenzi ili uthibitishe mkuu,kutuuliza siye na tumetoka ibada ya jioni ni changamoto kidogo
Huwa naombea wote haswa mataifa yenye shida za vita muda huu,kristo awarehemu🙏Umeniombea?
Hebu jaribu kufanya utupe mrejeshoWakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
Wabamizwa cc DIVISHENI FOOJamaa kwani wabamizwa mana yake nni
Hawa ndio wanawakanyaga mama zao hawaWewe na huyo mama inabidi mtizame akili zenu
Shetani ni nani ?Kwanza pole
Pili pole
Tatu Pole
Umeshapoteza Hatma yako...
NB: Wewe na uzao wako mmeuzwa kwa Shetani
Ni mtu kama wewe...Shetani ni nani ?
Kwahiyo unamuongelea mtu usomjua ?Ni mtu kama wewe...
Ni kweli nilikua na Wanawake wengiMama kakuona unaendekeza wanawake kaona ndo mana huna unalofanya la kumuonesha maendeleo.
Kaona akupige pini!