Mama yangu amenipeleka kwa mganga

Mama yangu amenipeleka kwa mganga

Bimkubwa mjanja sana. Kafanya tafiti halafu kagundua unahonga sana 'mademu'. Njia pekee ni kuongea na mjomba wako wakutishe.

Na umejaa kwenye mfumo.
 
Ni kweli nilikua na Wanawake wengi
Na mimi ni mama.
So nilihisi tu ni hivyo, sasa badilika.
Wanawake wengi hakuna mahali watakufikisha zaidi ya kukupotezea muda na rasilimali zingine kama fedha!
Huu ndio wakati wa kujijenga na kujitengenezea maisha yako ya kesho.
Umepata access ya kufanya vitu vya maana vifanye kabla hujaoa na hujaanza kupata watoto (IWAPO BADO)
Hao wakija ni maisha mengine kabisa
Unaweza kupata mwenzi asiye na akili ya kutengeneza maisha ikawa imekula kwako.
Ukipata watoto watakuja na mahitaji na majukumu mengine.
So issue sio mama amekupeleka wapi!
Anataka ubadilike na ubadilike kweli.
Shida ya hii mbinu yake unaweza jikuta unakuwa khan..hi bure.
WE BADILIKA, MAMAKO ANAKUTAKIA MEMA!
 
Wakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
Huenda mama ameona unapenda sana chini Akala dili na Mganga ili akujaze upepo.. Na ukiachana na chupi, maendeleo yataonekana hakika..
 
Wakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
Mwenye shida kama ww njoo inbox nikusaidie.

Ila hapo waliona we n malaya wakapangana
 
Back
Top Bottom