Mama yangu amenipeleka kwa mganga

Mama yangu amenipeleka kwa mganga

acha utani mkuu, sasa huyo ni mganga au mtume wa Mungu

Mganga gani anakuambia fuata amri za Mungu ?
 
Kiufupi mganga anakupa meseji kwamba una kazi nzuri ila hauna maendeleo kwa sababu ya kuendekeza mapenzi. Ndio maana amekupa kazi ndogo kabisa
 
1000007646.jpg
 
Wakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
Wewe na mama yako mnahitaji spiritual deliverance
 
kama una kazi nzuri --- pandisha uzi watu wakushauri namna gani utamanage mapato mkuu
 
Vp haujapigwa ban na kwenye lile chama lenu la kujichukulia Sheria mkononi?
 
Wakuu mama yangu amenipeleka kwa mganga wa kienyeji baada kutoona Maendeleo licha ya kuwa na kazi nzuri masharti niliyopewa nisifanye Mapenzi mpka naoa nikifanya nitakufa hivi ni kweli
Huyo mganga ni tapeli mwenye akili
...kama wewe siyo demu ..basi mganga kajua kuwa wewe pesa zako zinaliwa na wanawake kisa ngono na anajua kuwa vitu viwili vinavyo maliza pesa kwa wanaume wengi ni wanawake na pombe hivyo kacheza na akili tu ....nikama zamani mvulana akienda kwa mganga kutaka dawa,ya kupata wanawake basi mganga tapeli anacheza na saikoloji tu anakupa mashariti kuwa ukimfuata msichana yoyote kumtongoza fanya moja mbili tatu kisha jiamini shariti umtizame machoni bila ya kupepesa macho ...kumbe mganga kakujua wewe ni muoga mbele ya mademu hivyo anakupa vidawa feki kukufanya ujiamini .
 
Back
Top Bottom