Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Dr.W.Slaa,
Kwanini unasema mama Zitto ametoa sh 30,000 mbona hutaji na wengine wametoa sh ngapi?
Huoni kama hii haijakaa vizuri , pengine una malengo ya kumharibia mama wa watu sifa mbele ya chama chake na jamii?
Ben Saanane.
Umeshampa pole Zitto lakini?
Dr.W.Slaa,
Kwanini unasema mama Zitto ametoa sh 30,000 mbona hutaji na wengine wametoa sh ngapi?
Huoni kama hii haijakaa vizuri , pengine una malengo ya kumharibia mama wa watu sifa mbele ya chama chake na jamii?
Umeshampa pole Zitto lakini?
Umeshampa pole Zitto lakini?
Atamharibia!!!? zaidi ya alivyojiharibia mwenyewe kwa kukubali kutumiwa kuandaa hii tamthilia ya kitoto,ambayo
haitazaa matunda waliyoyakusudia!!
Atampaje pole na wakati hawafahamiani?
Kama unaamini cdm ni umma, basi ingia kwenye anga za mbowe na slaa uone kama utatoka
Mimi nilijua Ben Saanane na Zitto wote wana mamlaka za juu ndani ya chama?!.
Basi kuna haja kwa chama kuandaa kama ka team building weekend na angalau ka Party waende South Beach wakafahamiane.
Ha ha ha ha, kuwe na faya eksitingwisha na yale magari ya faya yenye maji
Just in case kukawa na eksiplosheni
Inaonekana BEN SAANANE anawatoa jasho sana, eehh? Kila mkilala mnamuota yeye!!
Kumbe huwa tunajibishana na mtoto, kwa hii post ndio nimeshakufahamu....Tumeambiwa na Wenje kwamba serikali ya 2015 Zitto ni waziri wa fedha na huyu Ben Saanane ni naibu wake sasa pale ofisini watakaa vipi? mimi wakitaka na event organizer I will hook them up :biggrin:
Tumeambiwa na Wenje kwamba serikali ya 2015 Zitto ni waziri wa fedha na huyu Ben Saanane ni naibu wake sasa pale ofisini watakaa vipi? mimi wakitaka na event organizer I will hook them up :biggrin:
Kumbe huwa tunajibishana na mtoto, kwa hii post ndio nimeshakufahamu....
Kumbe huwa tunajibishana na mtoto, kwa hii post ndio nimeshakufahamu....
You are lost, you missed the sarcasm behind my post
Jifunze kusoma na kuelewa