-Actuall you are not my peer intellectually by any description.
Nashukuru umelukubali hilo
You are just another desperate attention seeker in town.W
Sounds like u doing some self reflection... Good start.. Just a note; tumefika mjini siku nyingi hivyo hizo ni hulka za wakuja wa aina yako
what do you know about Ideologies?
Umri ulio nao unakutosha kurudi shule mbona kuna wenzako wameamua kurudi shule?
ushauri huu ungeufikisha katika chama hako kianzia na Mwenyekiti utasaidia sana taifa!
Hizo personal grudges usizilete kwenye mjadala maana si kawaida yangu kurithi maadui za watu. Najua kinachokuumiza wewe na wenzio ni kuona nasimama kwa ajili ya Taasisi tofauti na mlivyotaka mimi nisimame kwa ajili yenu.It suits you,not me.
Taasisi ipi, ya UCHAGA KWANZA?
Wakati mwingine mtu mwenye akili timamu akikaa karibu na mzee mwenye buasara anastahili angalao kunufaika na Busara hizo.Tumia fursa uliyo nayo muda huu ukiwa karibu na Dr.Salim.Jiangalie sana kaka na pia washauri wenzio ambao sitaki kuwataja hapa.Mtawadanganya vijana wengine ila sio mimi kwa kuwa nawajua na malengo yote ninayajua.
hata mimi namuheshimu Mama Slaa hata akija kumwaga sumu hapa pale anapoona mtumishi wake kama wewe haufanyi kazi ya kutosha!
Siasa zako za kibaguzi na kinafiki haziwezi kutufunza lolote sisi wadogo zako. Hayo matusi uliyotukana hapo juu ujue pia hata mimi nina uwezo wa kurudisha and i always overdo.
kweli nyani haoni kundule..
Ningeshukuru kama ungejibu content ya msg yangu ya hapo kabla ili mjadala unoge!