AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,049
acha kutumika wewe, umekua sasa.jiheshimu..
MAELEZO YA MAMA ZITTO
Shida alikwenda kuripoti tukio hilo katika kituo cha polisi cha tabata na kufunguliwa jalada na. TAB/RB/2898/CCY/13 lakini aliambiwa kuwa tukio hilo ni kubwa kwa hiyo akaripoti kituo cha polisi cha Buguruni ambacho ni kikubwa. Alikwenda kuripoti kituo cha buguruni na kufunguliwa jalada no.BUG/RB/5153 LA KOSA LA KUTISHIA KUUA KWA BASTOLA.
Baada ya kutoka hapo polisi , Shida alimpigia simu katibu mkuu wa CHADEMA DR. WILIBROD SLAA na kumueleza juu ya tukio hilo, DR Slaa alimwambia kwamba aende kuripoti katika ofisi yao ya ulinzi na usalama makao makuu ya CHADEMA. Alipoenda ofisi ya ulinzi na usalama alimkuta Naibu mkurugenzi wa ulinzi na usalama aitwaye AHMED SABULA ambaye alimwambia Shida kwamba, wamepata habari juu ya tukio hilo na pia wanazo habari za yeye kupita mikoani kumnadi mwane Zitto Kabwe ili apate uenyekiti wa CHADEMA. Maneno hayo yalimkatisha tamaa, Akaamua kuondoka, lakini alipofika njiani alipigiwa simu na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye alimfokea kwanini alikwenda kueleza tukio la kuvamiwa na vijana hapo makao makuu ya CHADEMA. Mama SHIDA shida alikosa la kusema na hatimaye akaanza kuamini kuwa vijana wale walitumwa na Mbowe ili kumtisha au kumdhuru
MAMA ZITTO amesema kuwa alipokuwa mwanza, hotelini aliwahi pia kuvamiwa na vijana wawili wa kiume ambao walijifanya wamepotea chumba.
Naona unajaribu kutuaminisha kuwa Limao ni chungwa.