Mama yake Zitto avamiwa

Za mwizi arobaini, ivumayo sana hupasuka. Lets watch an see. Yaliyo gizani mungu atayadhihirisha tu..its a matter of time.
 

Mimi binafsi mama zitto sio mamayangu mzazi ila moyo unaniuma sana machoni mwangu nashindwa kustahamili maumivu nikiwa nashuhudia matusi anayomwagiwa mama wa watu kanakamba amewaita hao majambazi wamvamie.
Hivi ni kwanini haifiki sehemu tukatenganisha siasa na uhai wa mtu? Hebu fikiria udhaifu walio nao mama zetu je angedondoka kwa presha akafariki wakati anatishiwa ndio ingesaidia nini chama? Aah jamani wanasiasa wapi twaelekea? Mbona sifa yetu ya ubinadamu twaipoteza?
 
huyu mama na mwanae wote ni wasanii, mwanae aliandika barua kisha akaipost mtandaoni akadai imevujishwa, huyu mama ni mtu anae struggle na inferiority complex anajifariji na hii michezo ya kijinga kama hiki kioja alichokuja nacho leo ili apate recognition na attention ya wabongo
 

wewe ni mshiriki mwenzake katika hili igizo
 


ilyas we ni mnafiki toka unasoma udsm uliwahi kutandikwa wakati wa uchaguzi wa serikali ya wanafunzi pale nkrumah hall naona bado unaendeleza unafiki wako,
 

Chuki, husda na wivu ni vitu vibaya sana kaka yangu Manzese. Tabia kama ya kwako ndio tabia za wanyama si binadamu. Unadai zitto alivujisha barua aliyomkabithi Dr Slaa hand to hand then ilipovuja ndio akaja kutoa maelezo hapa sasa yako wapi maelezo ya mkabithiwa ambaye naye alikuwa usiku wote hakuwa anacheza mbali na ile thread? Kama atadai ni suala la kujadili ndani ya chama wapi tamko la chama?

Usivyo na huruma unamkandia mama wa watu eti ndio ametengeneza hii ishu ambayo inadanger maisha yake so for what?

Yupo judge wamajudge wa kweli litabainika tu.
 
Mnapigania watanzania au kundi la watu au mnapigania matumbo yenu nyie chadema? Mbona mnataka kuwamaliza wanachama wenzenu? Bibi yangu ashawahi kuniambia baada ya kuwa halali usiku karibia mzima manake kila kinachotokea usiku anakisikia basi tulivyomuuliza anafanyaga nini usiku akasema "anasoma kitabu chake" manake maovu yake ili atubie na wanapschology wanasema 65+ ni muda kurefresh back sasa huyu mzee slaa yeye bado anadhani anamuda wa kuendelea ku exist.
 

zitto na mama yake wote wananunulika tatizo ni kujua kujua bei zao, ok hiyo barua alimpa hand to hand naomba kujua hiyo barua aliandika akiwa ofisini kwa dr slaa au alikuja nayo kwa dr ikiwa imekwisha andikwa? unajua chain of custody ya hiyo barua? think big bwa mdogo, usichanganyikiwe na MPESA za lumumba
 
Huu ni mwendelezo wa tamthiliya iliyoandaliwa kitaalamu na Jack Zoka akishirikiana na swahiba wake Zitto, bila kumsahau mama Zitto ndani ya series!. Uroho na tamaa ya madaraka vitampeleka kubaya ndugu Zitto.
 

Uko sawa anaweza nunulika sasa mkabidhiwa barua alitoa maelezo gani? Au unadhani mh Zitto yupo ovyo kiasi hicho unachowaza wewe?
 
Chadema mtaishia kuchinjana ila mafanikio yenu yakuingia ikulu itakuwa ndoto kwakuwa mnampasuko ambao viongozi wenu wanaulea siku hadi siku na kwasababu unagusa maslahi yao.
Kuchukua dola kunaitaji umoja, mshikamano na upendo kwa nyie wapigania dola otherwise mtaishia kujenga mahekalu kwa ruzuku na michango ya walala hoi mkiwa mnawadanya.
 
Uko sawa anaweza nunulika sasa mkabidhiwa barua alitoa maelezo gani? Au unadhani mh Zitto yupo ovyo kiasi hicho unachowaza wewe?

dr slaa is smarter and bigger than that mlitegemea ataingia kwenye huo mtego wa kitoto, ndio maana nimekuuliza hiyo barua zito aliandika akiwa ofisini na dr slaa? au aliandika akiwa wapi ? ukipata jibu la maswali haya hapo ndo unaweza kung'amua sanaa ya zitto.
 

CHURA ANAJUA UMUHIMU WA MAJI BAADA YA KUKAUKA.
Tuishi kwa kupendana maisha ya dunia ni muda mfupi ila ukifa hautokuja rudi tena.
 

Watu wanakuomba elfu ishirini wamekuja na gari, hivi hayo mafuta waliyotumia si ndio hiyo elfu ishirini alivoona hivyo kwa nini hakuwa suscipicious kabla hawajaingia ndani?? Halafu ulivyotaka kuwapa hiyo pesa ulinyanyuka kwenda kuwachukulia chumbani, lakini simu unamtuma dereva!! Hivi hao jamaa ni wapuuzi kiasi gani mpaka unamuita dereva akupe simu na wao wameendelea kukuwekea hiyo bastola na kumuacha dereva aondoke hapo???? Hivi mlinzi ataachaje geti wazi mpaka hao vibaka watoroke????

Mama usijiingize kwenye haya mambo, kwanini uwahusishe chadema kwahili, kwani vibaka hawawezi kujibatiza kuwa wao ni vijana wa chadema??? Kuhusu kuulizwa kwamba unapata wapi fedha za kuzungukia mikoani hata ningekuwa mimi mkurugenzi wa usalama ningemuuliza hilo swali. Kwani unazipata wapi mama???

KAka yangu Zitto muachane na hizi propaganda, watanzania hawawezi kukuonea huruma kwa habari za kupikwa kama hizi.
 
CHURA ANAJUA UMUHIMU WA MAJI BAADA YA KUKAUKA.
Tuishi kwa kupendana maisha ya dunia ni muda mfupi ila ukifa hautokuja rudi tena.

hiyo habari ya upendo wahubirie CCM na mamluki wao wakielewa ndo uje kwetu.
 
mfano wa hayo unayosema ni wewe, kwa sababu huzungumzi haya kwa nia njema bali kuwakomoa watu ambao hauna itikadi nao sawa, huo ni unyama
 
Too far mkuu, hao unawazungumza ni viongozi wako, tunahitaji hekima tunapojadili mambo ya viongozi wetu wa nchi au kisiasa, ni lazima tuvumiliane na kuheshimiana
 

-Kwanza huyo mtu anayeitwa Sagula yupo Chadema?

-Pili;Mbona umeshatoa hukumu ya ulichoita 'kesi hizi'.Be rattional,argue objectively.

Nawatahadharisha wanaJF wasiokuelewa tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…